Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza tuulize mna iq ngapi?
Yaani alivyoanza sasa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukigusa ID yangu utaona neno "Ignore" Just press it! Hutakua disturbed na maandiko yangu yoyote yale.Yaani alivyoanza sasa[emoji119][emoji119][emoji119]
Haki hizi id fake zinatusaidia sana. Nimekumbuka enzi za shule na msemo wa "msuli tembo, matokeo sisimizi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani alivyoanza sasa[emoji119][emoji119][emoji119]
Haki hizi id fake zinatusaidia sana. Nimekumbuka enzi za shule na msemo wa "msuli tembo, matokeo sisimizi"
Wewe ndio unaowafanya mashabiki wote wa kiba waonekane matairaMtoa uzi Corona Imeanza kutafuna ubongo maana kaandika pumba tupu tena kimihemko
Vishabiki vya Diamond vinawivu sana kinachowauma ni Alikiba kutrend kwa wiki nzima sasa hakuna kingine, kiba uwa unawasumbua akikaa kimya Mnateseka akikiwasha mnateseka,. Uzi wako hauna mashiko umeandika kimihemko kimichambo na kiwivu wa upande wa pili,
Ni wakati wa kiba huu kutrend tulizeni mishono ndo maana mnaona hata uko kwa mjomba enu chibu wamekaa kimya wanajua wakikurupuka wataaibika
Wewe kidogo unaandikaga point ila yule robinho sijui Nani ndo anawaharibia anawafanya muonekane mashabiki wote wa kiba Ni matairaWhy waste energy and time kwa 'no body'??
Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??
Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?
Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?
Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate
Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu
Waache watu na maisha yao
Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved
Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako
Wewe kidogo unaandikaga point ila yule robinho sijui Nani ndo anawaharibia anawafanya muonekane mashabiki wote wa kiba Ni mataira
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza tuulize mna iq ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza tuulize mna iq ngapi?
Sijasema ndo mtu wa kwanza soma uelewe,.
Kinachowauma ni kiba kutrend kwa wiki nzima walitegemea Zuchu angemzima lakini madogo waliotoka Kings Music wamemzima Zuchu, heshimuni na tambueni nguvu ya Kiba jamaa ana himaya yake ana mashabiki wake, Like Simba na Yanga Uwezi wabadilisha mtu,.
Nakuruhusu leo utoe yote yaliyo kifuani kwako kuhusu mimi! Kwa usalama wa moyo wako usije pata shambulio au Cardiac arrest maana sitaacha kuandika mawazo yanguWe nawe unajikutaga nani sijui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuruhusu leo utoe yote yaliyo kifuani kwako kuhusu mimi! Kwa usalama wa moyo wako usije pata shambulio au Cardiac arrest maana sitaacha kuandika mawazo yangu
HahahahahahahahahMtoa uzi Corona Imeanza kutafuna ubongo maana kaandika pumba tupu tena kimihemko
Vishabiki vya Diamond vinawivu sana kinachowauma ni Alikiba kutrend kwa wiki nzima sasa hakuna kingine, kiba uwa unawasumbua akikaa kimya Mnateseka akikiwasha mnateseka,. Uzi wako hauna mashiko umeandika kimihemko kimichambo na kiwivu wa upande wa pili,
Ni wakati wa kiba huu kutrend tulizeni mishono ndo maana mnaona hata uko kwa mjomba enu chibu wamekaa kimya wanajua wakikurupuka wataaibika
Shabiki maandazi a.k.a shabiki oyaoya[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1420989
Sio yy peke yake. Wapo wengi wanatamani kunimwagia povu basi tu wanakosa nafasi kwakua hua sito nafasi ya mtu kuni attack. Ila mioyo yao inawaka moto ajili yangu. The useless,Unworthy,Unwanted..
Nimepoteza mda kusoma upuuzi wako shit 😕😕Binafsi mimi hua sio mshabiki wa vitu vinavyopendwa na wengi, hata kama ni story inayotrend humu hua naacha ichuje kabisa watu waipotezee ndio name nitaisoma..Kama ni msemo,member,nguo ikipendwa na wengi basi hua siwezi kuipenda tena. Hua naamini vinavyopendwa na wengi ni vya shetani pia hua naona kua ni vitu cheap kila mtu even a layman can afford that thing.
Mimi ni mshabiki halisi wa CEO na mwanamuziki Diamond platinumz, nimejitahidi sana kumantain principle hiyo niliyoieleza hapo juu kwa msanii huyu ila nimeshindwa maana anapendwa na watu wengi sana ila tofauti na watu wengine wengi mimi na wengine wachache ninamkubali zaidi mtu huyu kutokana na “haso” zake zaidi na jinsi anavyojitahidi kutoa ajira kwa vijana wenzake either directly or inderictly. Lakini katika hali ya ajabu kuna watu wachache hawaoni yote hayo wao humchukia kwa kila zuri au baya atendalo, inashangaza!
The guy ndio definition ya a successful person kaweza kumhakikishia bilgert ule msemo wake kua ukizaliwa maskini sio kosa lako kosa ni kufa maskini, from zero to hero. Kila kitu kwakwe ni fursa adimu ya kuendelea kubaki juu na kujiingizia kipato, anajua kujibrand na kuendesha biashara ya muziki huku akifanya muziki. Kwa mtu anayejitambua diamond ni darasa tosha sana kwake, huna haja ya kusikiliza motivation speaker D ni darasa kamili ukifuatilia historia yake basi tu vile watanzania roho za ubinafsi na chuki juu ya mafanikio ya wenzetu hatutaki ku-Admit kua D kafanya kweli vile wengi tunatamani kufanya, so ili kujiilizisha roho zetu tunamchukia na kwenda kumshabikia feliaz mwenzetu Alikiba ili tuwe na amani moyoni.
Alikiba kafeli kila kitu kuanzia ndoa, biashara ahdi muziki wake as career. D anamadhaiu yake pia ila muacheni na madhaifu yake tushabikie vile vitu positive kama nifanyavyo mimi, hawezi kua mwanadamu mkamilifu kama hawezi kua na madhaifu. Ili uwe kamili inabidi uwe na madhaifu kadhaa kama hayo aliyonayo D, Tuchukue yale yaliyo positive yenye kuigwa mambo negative tumuachie mwenyewe.
Samahani kwa hili lakini kuna watu wanaoshabikia au kuamini katika vitu Fulani nimekua nikiangalia uwezo wa ujengaji wao wa hoja na uelewa mpana wa mambo bila kufungwa ndani ya box ni mdogo mno. Watu hao ni wanaomuamini nabii mke,watu wanaomuamini Yule mjumbe wa mwisho wa Mungu na mashabiki wa Alikiba watu hawa wanasikitisha mno. Mara nyingi hua nasema kua kuna vitu ili kuvifanya au kuviamini inabidi uwe na kiwango Fulani cha ujinga kichwani basi moja watu hao ndio mashabiki wa alikiba wakiongozwa na alikiba.
Hawa mashabiki karibia asilimia 80% vichwa vyao vipo kama nazi, unajua nazi ili upate yaliyomo ndani yake inabidi uipasue, basi ndivyo ilivyo kwa mashabiki wa alikiba ili aelewe na kufikiria nje ya boksi mpaka umpasue kichwa chake…Hawa watu ni Strong Closed mind haswa hawawezi kufikiri mbali ya kile wanachokiamini kua “alikiba ni msanii mkubwa na anasauti nzuri alishawahi kuimba na R Kelly”. Hua hawaoni zuri lolote la Diamond bali mabaya tu na hua hawaoni baya lolote la Alikiba, ukiwauliza sababu ya kumchukia Mondi utasikia eti anaimba matusi,nyimbo zake anakopi,haimbi za kuelimisha nk nk.
Ukiwaambia huyo asiyekopi wala kuimba matusi mbona hamshindi wanasema eti D ni freemason, anatungiwa nyimbo na freemason wengine huenda mbali zaidi na kusema kua d hua anafanya mapenzi na mama yake ndio maana anaendelea kua maarufu. Ukiwauliza kwani D ndio msanii freemason pekee wanasema yeye anacheo kikubwa kuliko. Inshort kila anayemchukia D huwezi kuta anamshabikia hata mr blue au jux lazima awe anamsabikia Alikiba.
Mashabiki wa Kiba acheni kuwa mashabiki lialia au mashabiki maandazi, kueni positive,fungueni bongo zenu muwe mnawaza nje box usikariri kitu kimoja kama Computer inavyojua 0 na 1 pekee. Mnajiabisha na kumuaibisha mnaemshabikia mnazidi kutuaminisha kua Anashabikiwa na mambumbumbu. Binafsi hainiingii akilini kua kipindi ulipokua mtoto ulikua na kiburi, mama yako unamtukana, gomvi, matusi hayakauki mdomoni hadi mama yako akanyoosha mikono na kuacha dunia ikufunze halafu leo uje usubirie Alikiba aimbe akufundishe tabia kwa kuimba vitu vya adabu, Aisee yaani mama yako kakushinda kukunyoosha tabia halafu leo uje umchukie diamond kua ameshindwa kuimba nyimbo za heshima ili unyoke tabia. Huo ni utahira na upumbavu kabisa. Kama ulishindikana kwa mama yako usitegemee kunyooshwa tabia na Diamond ua Alikiba kwa kisingizio eti wao ni kioo cha jamaii.
Wasanii wote wapo ajili ya kutafuta pesa waendeshe familia zao hata huyo alikiba mnaona anaheshima haimbii kwa ajii ya kutaka pesa ni kwakua kashindwa kuugeuza mziki wake ukampatia pesa anazozihitaji. Alikiba anazihitaji sana pesa kutoka kwenye muziki basi tu anashindwa afanyyeje ili aweze kuzipata maana hajui biashara wala kuhendo mashabiki wake. Siku akijishusha akaenda kwa D kupigwa msasa jinsi ya kupiga pesa kwa muziki, kwa kipaji kile alichonacho atapiga hela sana. Kiburi kinamponza anakufa kwa kinyongo na chuki.
Guys amkeni, achene kua negative.
Penye ukweli sema ukweli sio kwasababu shabiki yako umfichie makuchaMara hoo Diamond
1.Jamaa ana roho mbaya anapunguza views za wenzake.
2.Kalala na mama yake.
3.Kaishiwa ana kopi na kupasti.
4.Anawadhulumu watoto.
5.Ukifanya nae collabo anakuroga unapotea.
6.Nyimbo anatungiwa na wasanii wa label yake.
7.Ana Domo kubwa.
8.Anawaroga wasanii wenzake
.......
Ila uzuri hizi kauli hazimvunji moyo,anafocus ,anajituma na anaifanya kazi yake kwa uhakika na mafanikio yake yanaonekana na anazidi kuwakera JEJE wiki hii ktk chart DJOUBA Trace za nyimbo za AFRICA inashika no 3.
Mkuu umemaliza kila kitu, huyu mleta uzi hasipokuelewa basi nae atakuwa na IQ ndogo zaidi hapa dunianiWhy waste energy and time kwa 'no body'??
Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??
Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?
Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?
Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate
Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu
Waache watu na maisha yao
Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved
Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako