Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

Hawa wasafi kweli wana nguvu za usiku kabisa, uzi mzima huu ulitakiwa ufutwe😁😁😁sio wanachagua post, watu tunaambiwa tuna zero IQ kwa kumsupport King mwenyewe 😃😃 halafu uzi bado unaishi, imagine!
Ngoja nikupe sentensi nzima,nilikua nimeandika.. '' Kwani Alikiba ana nini mpaka aatract watu wenye IQ ndogo??'' wala sio matusi sijui kwa nini wameifuta
 
Ila ile ya jamaa hapendi show off ndio inayotrend hadi kesho
 
Kumshabikia msanii nayo inahitaji IQ hahaha kwa kweli nakubali tu nina IQ kiduchu lakini siwezi kuacha kupenda a good music kutoka kwa Le King himself,

Wewe unayesema Alikiba kafeli kila kitu kuanzia Ndoa, Biashara na Muziki hahaha
Mwenzio ana mke, watoto, ni mtu maarufu popote akitokeza watu watajua Ali is there haijalishi ni shabiki wake au hater wake, ameshatoka nje ya Tz, ana ishi Daaaar (lol), ana sukuma ndinga, ana nyumba ya kuishi, anafahamiana na watu maarufu,

Jitafakari wewe mwenye IQ kubwa, una kipi??
 
Anamiliki mtumbwi wa kuvulia migebuka huko kwao kigoma na smartphone
 

Una diploma na bado hujui effect ya dunia kijiji katika ulimwengu huu wa tecnologia?

Yani katika ulimwengu wenye tecknolojia bado diploma yako inataka vigezo vya connection kutoka migos ili kujua kua jamaa kakopi?


Nikweli ni wachache sana wenye kifua cha kusema baba yangu ni mwizi, wengi wao ni waoga kwasababu ndio mzazi wake. Lakini haiondoi maana kua sio mwizi

Kama Hakuna jipya chini ya jua, basi hili neno la ubunifu lisingekuwepo

Yani kauli hiyo inaonesha umekubali kua jamaa kaiba ila ndo unamsitiri kua hakuna jipya

Na hiyo sijui kwanini unaitumia kama dhana ya kuhalalisha wizi anaofanya jamaa yako, kaishapita dirishani mara kibao ni nadra sana kufanya video yenye ubunifu wa kipekee bila kuiga mahali



It's Scars
 
Katika kitu ambacho Diamond kawateka misukule wake ni kuwaaminisha anatoka maisha duni kabisa.

Anyway, Kati ya vitu nilivyofanikiwa kuacha kutumia nguvu ni kubishana na Misukule ( Waumini/Waabudu Vitu/Watu /Lialia )
 
Katika kitu ambacho Diamond kawateka misukule wake ni kuwaaminisha anatoka maisha duni kabisa.

Anyway, Kati ya vitu nilivyofanikiwa kuacha kutumia nguvu ni kubishana na Misukule ( Waumini/Waabudu Vitu/Watu /Lialia )

Mkuu mbona jamaa Anasema katoka tandale? Kwenye Maisha Yasioeleweka?
Au Kuna stori nyingine mkuu?
 
Mkuu mbona jamaa Anasema katoka tandale? Kwenye Maisha Yasioeleweka?
Au Kuna stori nyingine mkuu?
Bbaba yake ana nyumba nzuri tu Magomeni.

Alikuwa na nyumba mzuri Kariakoo akauza ( Kala bata balaa wakati huo ndio kawatelekeza Diamond na mama yake )

Hata huko Madale wana nyumba, hawakuwa wamepanga.

You can easily tell from the photos kwamba hawa watu hawkuwa na maisha magumu kwa kiasi wanachojaribu kuaminisha watu ( labda kama huyajui maisha magumu )

1.


2.
 

Aisee mkuu umenifungua macho hapa kwakweli.
 
Kiba is a failure hayuko serious na business...leo kwenye kipindi cha homa sijui TVE Kaulizwa kwanini wasanii chini ya lebo yake hawapi mikataba akasema wapo chuoni...akaulizwa kwa hiyo wanalipa ada akasema hapana wanapata full sponsorship.....sijawahi sikia duniani lebo ya namna hii.....Nafikiri hana management inayojitambua au ni mjuaji sana......au lebo yake inaendeshwa mtindo wa Madras?......Kondeboy ameshaanza kumuacha na atamuacha mbali sana huyu mfalume wenu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Kings Music ni chuo na siyo lebo..alisema king kiba...duh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye. IQ ndogo uwezi kumfahamu kupitia mitandao labda ungekuwa unaishi naye kwako.
 
wewe ni mjinga jamaa yangu,sema asante.

unaelewa maana ya hiyo kauli!!!!leo hii mond akikwambia anawasaidia wasanii walioko chini ya leble yake utakata mauno na kupiga makofi sababu hupindui.meanwhile yeye malengo yake ni biashara tu na si vinginevyo,ndio maana akamchapa harmo 500mln.

leo kiba ana malengo yake,roho yake,sababu zake za kufanya hayo unasema amefeli,sijui alikwambia malengo ya kuwakusanya hao madogo au umekalili kwa mpenzi wako!!!.acheni kupangia watu namna ya kuishi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…