Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

still bado alikuwa na bahati kukutana na hao anaowaona wa ajabu leo hii,bob junior na alikiba.

yeye anajua mchango wa hao jamaa,ila mshabiki zake sasa ndio kama ngedere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida uwa sipendi kuwapambanisha wasanii Wetu Na uwa nasikiliza baadhi ya miziki yao,I mean nazichuja zipi napenda,lakini kwa upande flan umezipatia sana tabia za baadhi ya watanzania,wengi wao uwa hawajisikii vizuri kuona mwingine anamafanikio,yaan ROHO ya KOROSHO,anaweza kugharamika akose hata Kula ilimradi akushushe ulipo, sijui ni mchanganyiko wa kizazi gani hiki??!akiwa Na shida anakukimbilia kuomba msaada!!!!

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Nitabaki kuwa shabiki wa mziki mzuri sio umaarufu wa mtu.
Mimi ngoma nzuri kwenye masikio na hisia zangu ndio rafiki yangu,.. Kuna wasanii wengi tu maarufu lkn nyimbo zao sometime hazina lolote ilimradi tu katoa wimbo.
Tuache kuwapambanisha wasanii wetu kwa chuki za kishamba.
 
Dude...
You might have a point but how sure are you Diamond knew about Migos concept and copied it???

Anyway, just so you know it wasn't even his idea. Concept nzima ilikuwa ya Raqey, mpaka shoot alifanya yeye.

Pia concept ya music video mara nyingi hutoka kwa Director na sio msanii (japo wale ambao ni super creative huwa tayari wanajua nini wanataka) so pungizeni kuwalaumua wasanii. Unaweza kuta mwenyewe hata hiyo video hajaiona ila ndo hivyo tena mtu anakuwa GUILT BY DESIGN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…