Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

Bbaba yake ana nyumba nzuri tu Magomeni.

Alikuwa na nyumba mzuri Kariakoo akauza ( Kala bata balaa wakati huo ndio kawatelekeza Diamond na mama yake )

Hata huko Madale wana nyumba, hawakuwa wamepanga.

You can easily tell from the photos kwamba hawa watu hawkuwa na maisha magumu kwa kiasi wanachojaribu kuaminisha watu ( labda kama huyajui maisha magumu )

1. View attachment 1422102


2. View attachment 1422104
still bado alikuwa na bahati kukutana na hao anaowaona wa ajabu leo hii,bob junior na alikiba.

yeye anajua mchango wa hao jamaa,ila mshabiki zake sasa ndio kama ngedere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mshabiki halisi wa CEO na mwanamuziki Diamond platinumz, nimejitahidi sana kumantain principle hiyo niliyoieleza hapo juu kwa msanii huyu ila nimeshindwa maana anapendwa na watu wengi sana ila tofauti na watu wengine wengi mimi na wengine wachache ninamkubali zaidi mtu huyu kutokana na “haso” zake zaidi na jinsi anavyojitahidi kutoa ajira kwa vijana wenzake either directly or inderictly. Lakini katika hali ya ajabu kuna watu wachache hawaoni yote hayo wao humchukia kwa kila zuri au baya atendalo, inashangaza!

The guy ndio definition ya a successful person kaweza kumhakikishia bilgert ule msemo wake kua ukizaliwa maskini sio kosa lako kosa ni kufa maskini, from zero to hero. Kila kitu kwakwe ni fursa adimu ya kuendelea kubaki juu na kujiingizia kipato, anajua kujibrand na kuendesha biashara ya muziki huku akifanya muziki. Kwa mtu anayejitambua diamond ni darasa tosha sana kwake, huna haja ya kusikiliza motivation speaker D ni darasa kamili ukifuatilia historia yake basi tu vile watanzania roho za ubinafsi na chuki juu ya mafanikio ya wenzetu hatutaki ku-Admit kua D kafanya kweli vile wengi tunatamani kufanya, so ili kujiilizisha roho zetu tunamchukia na kwenda kumshabikia feliaz mwenzetu Alikiba ili tuwe na amani moyoni.

Alikiba kafeli kila kitu kuanzia ndoa, biashara ahdi muziki wake as career. D anamadhaiu yake pia ila muacheni na madhaifu yake tushabikie vile vitu positive kama nifanyavyo mimi, hawezi kua mwanadamu mkamilifu kama hawezi kua na madhaifu. Ili uwe kamili inabidi uwe na madhaifu kadhaa kama hayo aliyonayo D, Tuchukue yale yaliyo positive yenye kuigwa mambo negative tumuachie mwenyewe.

Samahani kwa hili lakini kuna watu wanaoshabikia au kuamini katika vitu Fulani nimekua nikiangalia uwezo wa ujengaji wao wa hoja na uelewa mpana wa mambo bila kufungwa ndani ya box ni mdogo mno. Watu hao ni wanaomuamini nabii mke,watu wanaomuamini Yule mjumbe wa mwisho wa Mungu na mashabiki wa Alikiba watu hawa wanasikitisha mno. Mara nyingi hua nasema kua kuna vitu ili kuvifanya au kuviamini inabidi uwe na kiwango Fulani cha ujinga kichwani basi moja watu hao ndio mashabiki wa alikiba wakiongozwa na alikiba.

Hawa mashabiki karibia asilimia 80% vichwa vyao vipo kama nazi, unajua nazi ili upate yaliyomo ndani yake inabidi uipasue, basi ndivyo ilivyo kwa mashabiki wa alikiba ili aelewe na kufikiria nje ya boksi mpaka umpasue kichwa chake…Hawa watu ni Strong Closed mind haswa hawawezi kufikiri mbali ya kile wanachokiamini kua “alikiba ni msanii mkubwa na anasauti nzuri alishawahi kuimba na R Kelly”. Hua hawaoni zuri lolote la Diamond bali mabaya tu na hua hawaoni baya lolote la Alikiba, ukiwauliza sababu ya kumchukia Mondi utasikia eti anaimba matusi,nyimbo zake anakopi,haimbi za kuelimisha nk nk.

Ukiwaambia huyo asiyekopi wala kuimba matusi mbona hamshindi wanasema eti D ni freemason, anatungiwa nyimbo na freemason wengine huenda mbali zaidi na kusema kua d hua anafanya mapenzi na mama yake ndio maana anaendelea kua maarufu. Ukiwauliza kwani D ndio msanii freemason pekee wanasema yeye anacheo kikubwa kuliko. Inshort kila anayemchukia D huwezi kuta anamshabikia hata mr blue au jux lazima awe anamsabikia Alikiba.

Mashabiki wa Kiba acheni kuwa mashabiki lialia au mashabiki maandazi, kueni positive,fungueni bongo zenu muwe mnawaza nje box usikariri kitu kimoja kama Computer inavyojua 0 na 1 pekee. Mnajiabisha na kumuaibisha mnaemshabikia mnazidi kutuaminisha kua Anashabikiwa na mambumbumbu. Binafsi hainiingii akilini kua kipindi ulipokua mtoto ulikua na kiburi, mama yako unamtukana, gomvi, matusi hayakauki mdomoni hadi mama yako akanyoosha mikono na kuacha dunia ikufunze halafu leo uje usubirie Alikiba aimbe akufundishe tabia kwa kuimba vitu vya adabu, Aisee yaani mama yako kakushinda kukunyoosha tabia halafu leo uje umchukie diamond kua ameshindwa kuimba nyimbo za heshima ili unyoke tabia. Huo ni utahira na upumbavu kabisa. Kama ulishindikana kwa mama yako usitegemee kunyooshwa tabia na Diamond ua Alikiba kwa kisingizio eti wao ni kioo cha jamaii.

Wasanii wote wapo ajili ya kutafuta pesa waendeshe familia zao hata huyo alikiba mnaona anaheshima haimbii kwa ajii ya kutaka pesa ni kwakua kashindwa kuugeuza mziki wake ukampatia pesa anazozihitaji. Alikiba anazihitaji sana pesa kutoka kwenye muziki basi tu anashindwa afanyyeje ili aweze kuzipata maana hajui biashara wala kuhendo mashabiki wake. Siku akijishusha akaenda kwa D kupigwa msasa jinsi ya kupiga pesa kwa muziki, kwa kipaji kile alichonacho atapiga hela sana. Kiburi kinamponza anakufa kwa kinyongo na chuki.

Guys amkeni, achene kua negative.
Kwa kawaida uwa sipendi kuwapambanisha wasanii Wetu Na uwa nasikiliza baadhi ya miziki yao,I mean nazichuja zipi napenda,lakini kwa upande flan umezipatia sana tabia za baadhi ya watanzania,wengi wao uwa hawajisikii vizuri kuona mwingine anamafanikio,yaan ROHO ya KOROSHO,anaweza kugharamika akose hata Kula ilimradi akushushe ulipo, sijui ni mchanganyiko wa kizazi gani hiki??!akiwa Na shida anakukimbilia kuomba msaada!!!!

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Nitabaki kuwa shabiki wa mziki mzuri sio umaarufu wa mtu.
Mimi ngoma nzuri kwenye masikio na hisia zangu ndio rafiki yangu,.. Kuna wasanii wengi tu maarufu lkn nyimbo zao sometime hazina lolote ilimradi tu katoa wimbo.
Tuache kuwapambanisha wasanii wetu kwa chuki za kishamba.
 
Nimesema idea ya wimbo huo chanzo chake kilianzia kwenye jina la album yao

Halafu ulivyozungumzia hapo ni kama unazungumzia habari ambayo ilifanyika karne ya tatu ambako dunia ilikua sio kijiji

Nakupa info tu kwamba dax kabla hajachia video ya wimbo wa book of revetation "official" tayari alisha i-reveal idea ya hiyo video ambayo alikua bado hajaiachia

Hili swala linaweza likawa gumu kwako kulielewa probably labda kwasababu huna fani hiyo lakini kwa mtu ambaye anajihusisha na hizi kazi habari kama hii ni keyword tosha
Dude...
You might have a point but how sure are you Diamond knew about Migos concept and copied it???

Anyway, just so you know it wasn't even his idea. Concept nzima ilikuwa ya Raqey, mpaka shoot alifanya yeye.

Pia concept ya music video mara nyingi hutoka kwa Director na sio msanii (japo wale ambao ni super creative huwa tayari wanajua nini wanataka) so pungizeni kuwalaumua wasanii. Unaweza kuta mwenyewe hata hiyo video hajaiona ila ndo hivyo tena mtu anakuwa GUILT BY DESIGN.
 
Back
Top Bottom