Siunaweza hata kutumia operamin badala ya web browser?Ku upload wewe ikopi link,kwenye web browser alafu ipaste hapo sehemu unapoandikia ujumbe wako.
Mfano hiyo iliyoanza na https au url,hiyo ndiyo link unayo takiwa kuikopi.
View attachment 1421506
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siunaweza hata kutumia operamin badala ya web browser?Ku upload wewe ikopi link,kwenye web browser alafu ipaste hapo sehemu unapoandikia ujumbe wako.
Mfano hiyo iliyoanza na https au url,hiyo ndiyo link unayo takiwa kuikopi.
View attachment 1421506
Usichokijua ni kwamba kilichorekodiwa kimesadifu maudhui ya album nzima "culture"Kwa hiyo management zao mbaya kisa wamerudia wamerudia video za watu [emoji3][emoji3][emoji16][emoji38],tunatofautiana mimi management naipima kwa kuwa na uwezo wa kupush nyimbo za msanii zifike mbali na kufanya vizuri ktk nchi mbalimbali kupitia music platforms na kupata show nyingi na kubwa inchi mbalimbali.
Harmonize mfano wa watu waliokuwa inpired na Mondi,alafu kuhusu video hamna jipya chini ya jua,video kibao idea zake zinarudiwa katizame Avant ft Nicole,TI ft Keri Hilson,Lulu Diva ft Blue zote idea zinafanana.
"Alianza diamond kwenye zilipendwa kuiga video idea ya migos walk it like talk it, saizi naona nao sauti solo wameiga idea ya video hiyo hiyo kwenye wimbo wao mpya"
View attachment 1421434
View attachment 1421435
We jamaa mziki hujui na si mfuatiliaji na unapayuka tu video ya Zilipendwa imetoka 2017 ,video ya Migos imetoka 2018 sasa nani kaiga video ya mwenzie au nani kamwiispire mwenzio?Huoni hapo kama Diamond kawainspire Migos.
Naona umeamua kubisha ila tatizo huna reference.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mods nao ni die hard fan wa dabyusibiiMbona sioni posti yangu kwenye hii topic au mods washafanya mambo..lol
Halafu ni kanafki haka karobinyo ingia kwenye Uzi ule wa Diva amsifia Alikiba ule ambao Jana umefukuliwa kaburi content yake ni diva kumsifia Alikiba kimapenzi enzi hizo zinaiva utaona comment ya robinyo akimsifia diva halafu nenda kwenye Uzi wa urafiki wa diva na Alikiba umekufa angalia robidinyo alivyomponda diva..unaweza kuscreenshot hizo comment kwa matumizi ya baadaeWewe kidogo unaandikaga point ila y
ule robinho sijui Nani ndo anawaharibia anawafanya muonekane mashabikiwote wa kiba Ni mataira
Mbona sioni posti yangu kwenye hii topic au mods washafanya mambo..lol
Na sisi wa Dudu Baya je? lol
Kwa hiyo Diamond alikuwa kwenye kamati iliyokuwa ikiandaa video ya Migos?Wewe vipi........na reference zako za kuunga unga.Usichokijua ni kwamba kilichorekodiwa kimesadifu maudhui ya album nzima "culture"
Album imetoka mwanzoni mwa 2017 na hiyo nyimbo imetolewa 2017. Idea ya video ilianza kusukwa na watu wawili daps na Quavo katika mwaka huo huo.
Ambapo walipanga video i-represent mziki wa mika ya 70s na dance program ilichukuliwa ya soul training pamoja na jamie foxx na hawa ndio walio host fictional show inayoitwa "culture ride". Old dance moves zilibuniwa na watu kama yacht ikiwemo "salsa" ili ku-represent mazingira ya miaka hiyo ya sabini.
mpaka hapa concept nzima ya idea ya hiyo video ilishakua imekamilika na kujulikana labda mange'ng'e tu waliokua blind minded wanaweza wasijue.
Video imekuja kuachiwa "official" mwezi wa tatu mwaka 2018 na hiyo ni kutokana na kesi ambayo walikua wanakabiliana nayo huko nyuma. It was plagiarism scandal ambapo M.O.S alikua akiwatuhumu kua wamechukua idea yake kwenye wimbo aliouachia 2007 "walk it like i talk it" na ndio maana video ili delay kuachiwa "official"
Nakupa mfano mmoja, movie ya ip man 4 finale imeachiwa official 25 desemba 2019. Lakini kabla ya hapo kuna watu tumeicheki hiyo movie vizuri
Kwaiyo akijitokeza mtu kusema movie ya ip man imeachiwa tarehe 25 mwaka jana "official" sitampinga ila akiniambia kua kabla ya tarehe hiyo movie hiyo haikuwepo nitampinga.
Mshazoea video zenu huku zinafanywa wiki mbili, yatatu unaikuta iko youtube mnadhani wote wanaenda na slogan hiyo.
It's Scars
Post hii au nyingine?
ulipoanza tu kusema alikiba amefeli kila kitu mpaka kwenye ndoa.Kwanini..?
Zilikua na post zangu. Zilifutwa
Nipe key word.
Kuna moja ya maombi juu ya anger!
Kusoma na kuelewa kilichoandikwa ni tatizo ambalo wengi mnalo hivyo sikushangai. nilijua tatizo hili linaweza kujitokeza na ndio maana nikaweka mfano ili nikutoe kwenye zone hiyo, lakini pamoja na kutolea mfano wa movie ya ip man lakin bado imekua ngumuKwa hiyo Diamond alikuwa kwenye kamati iliyokuwa ikiandaa video ya Migos?Wewe vipi........na reference zako za kuunga unga.
😀😀😀😀
Au ndio na ww ushakuwa mtumwa wa wazungu kwamba hawakopi?
Ila kwa mtizamo wako inawezekana basi Professor Jay alikuwa ktk kamati iliyokuwa ikiandaa nyimbo ya Buster Rythmes Make it Clap ,manake Piga makofi ya Prof Jay ndio iliyokuwa ya kwanza kutoka,ikafuatia Make it clap ya Buster.
WEWE KUBALI HUNA REFERENCE UNAZUNGUKA KAMA DAWA YA MBU YA KUCHOMA.
Ngoja nikupe sentensi nzima,nilikua nimeandika.. '' Kwani Alikiba ana nini mpaka aatract watu wenye IQ ndogo??'' wala sio matusi sijui kwa nini wameifuta
Hahaha kwaiyo alikiba na diamond ndio kipimo cha kujia iq ya mtu? (sisemi kama we ndo umesema)Na wewe unakubali kwamba Ali Kiba ame attract watu wenye IQ ndogo?
Yaani wewe kwa umasikini wako wa mawazo unaamini waafrica sio creative kabisa.Kusoma na kuelewa kilichoandikwa ni tatizo ambalo wengi mnalo hivyo sikushangai. nilijua tatizo hili linaweza kujitokeza na ndio maana nikaweka mfano ili nikutoe kwenye zone hiyo, lakini pamoja na kutolea mfano wa movie ya ip man lakin bado imekua ngumu
Unajuaje kwamba hujapewa references na sio kwamba umepewa ila huwezi kuzielewa?
Unajuaje hii ni references na hii siyo?
Usichokijua ni kwamba kilichorekodi
wa kimesadifu maudhui ya album nzima "culture"
Album imetoka mwanzoni mwa 2017 na
hiyo nyimbo imetolewa 2017. Idea ya video ilianza kusukwa na watu wawili
daps na Quavo katika mwaka huo huo
Ambapo walipanga video i-represent
mziki wa mika ya 70s na dance program
ilichukuliwa ya soul training pamoja na jamie foxx na hawa ndio walio host
fictional show inayoitwa "culture ride".
Old dance moves zilibuniwa na watu
kama yacht ikiwemo "salsa" ili ku-
represent mazingira ya miaka hiyo ya
sabini.
mpaka hapa concept nzima ya idea ya
hiyo video ilishakua imekamilika na
kujulikana labda mange'ng'e tu waliokua
blind minded wanaweza wasijue.
Video imekuja kuachiwa "official" mwezi wa tatu mwaka 2018 na hiyo ni
kutokana na kesi ambayo walikua
wanakabiliana nayo huko nyuma. It was
plagiarism scandal ambapo M.O.S
alikua akiwatuhumu kua wamechukuaidea yake kwenye wimbo
aliouachia 2007 "walk it like i talk it" na
ndio maana video ili delay kuachiwa
"official"
Nakupa mfano mmoja, movie ya ip man
4 finale imeachiwa official 25 desemba 2019. Lakini kabla ya hapo kuna watu
tumeicheki hiyo movie vizuri
Kwaiyo akijitokeza mtu kusema movie
ya ip man imeachiwa tarehe 25 mwaka
jana "official" sitampinga ila akiniambia kua kabla ya tarehe hiyo movie hiyo
haikuwepo nitampinga.
Mshazoea video zenu huku zinafanywa
wiki mbili, yatatu unaikuta iko youtube
mnadhani wote wanaenda na slogan hiyo
It's
Scars
Na wewe unakubali kwamba Ali Kiba ame attract watu wenye IQ ndogo?