gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
wewe ambaye sio mtumwa wa fikra umekisaidia vip hicho kiswahili kupiga hatua. Kumbuka serikali ya ccm ndo imeongoza hii nchi toka uhuru sasa ilikuaje wakashindwa kukifanya kiswahili tu ndo iwe lugha yetu kukawepo na kingereza.Hiyo mifano yahizo nchi ukizotaja wao wanatumia lugha zao tu kwenye kila kitu kingereza kinafundishwa kama somo tu darasani ila hapa bongo kingereza ni lugha inayotumika kwa matumizi yakawaida hadi yakiserikali. kwahiyo acha kutoa utetezi bandia.
Si uhamie uingereza ili uwe na kiingereza, nyie ndo watumwa wa fikra, miaka yote tunasema kiswahilinkitumike kuwafundisha wanafunzi lakini nyie na kiingereza tu, hicho kiingereza si ukisome kwa muda wake ukikitaka?
Mbona kuna waRusi hawajui kiingereza na wafaransa pia waeshia lakini wameendelea,
Nyie masikini wa africa ndo mnashebedua viuno eti kiingereza,