mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kutokana na ulichoeleza je,uwezo wenu wa kumudu kuzungumza hiyo lugha ulikuaje katika enzi zenu.Lakini enzi zetu English ilianza kufundiswa shuleni darasa la tatu.Ukiingia Darasa la tano masomo yote ni katika English isipokuwa somo la kiswahili
Alieua English ni Mwl.Nyerere, japo masomo ya secondary schools hadi vyuoni ni English.
Hakuna utashi wa kisiasa,lakini ukisubiri hao wanasiasa watakuchelewesha wakati watoto wao wapo shule bomba ndani na nje ya nchi.
Kama kuna ka uwezo wekeza katika elimu ya watoto wako.
tuanzie U-Rais, asiyejua aenguliweKwasasa Tanzania yetu ukienda kwenye interview hata Kama nafasi ya wahitimu wa darasa la saba mnachujwa kwa kufaham kiingereza inakuaje uko kwa madiwani na wabunge interview zao zinakua za kiswahili wakati ni nafasi muhimu sana.
Kwani tunatafuta viongozi wa Uingereza?Kwasasa Tanzania yetu ukienda kwenye interview hata Kama nafasi ya wahitimu wa darasa la saba mnachujwa kwa kufaham kiingereza inakuaje uko kwa madiwani na wabunge interview zao zinakua za kiswahili wakati ni nafasi muhimu sana.
Enzi hizo English ilikuwa inatumika ktk mazungumzo shuleni na pahala pa kazi,ni wazi tulikuwa na mazoea ya kutumia lugha hiyo hadi grammar.Kutokana na ulichoeleza je,uwezo wenu wa kumudu kuzungumza hiyo lugha ulikuaje katika enzi zenu.
Mikataba ya Kunua ndege kwa fedha taslimu utatafsiri wewe?Kwani tunatafuta viongozi wa Uingereza?
Umeisema kweli ndivyo ilivyo kiingereza hakikwepeki tena hata wachina na wafaransa wanaangaika kujifunzaBut Kiingereza si kama suti ambayo mtu aweze kuacha kuvaa isiwe tatizo.
Kiingereza ni kama almasi kwenye ncha ya mtaimbo iwezayo kupenya miamba kupata madini muhimu. Hakikwepeki kwa kisingizio chochote. Kiswahili ni chetu pia...
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tunaweza kusema mliyosoma kipindi hicho mnamudu kuonge kiingereza vizuri?Enzi hizo English ilikuwa inatumika ktk mazungumzo shuleni na pahala pa kazi,ni wazi tulikuwa na mazoea ya kutumia lugha hiyo hadi grammar.
Lakini kuna watu wengi ambao hawakusoma shule ilikuwa kikwazo.Lakini kijana aliemaliza darasa la nane angeweza kuwa hata translator mahakamani.
Kwenye secondary school majority ya walimu walikuwa wazungu tena waingereza au Marekani na Canada ,India na ilikuwa ni marufuku kuzungumza lugha nyingine kwa muda mwingi wa masomo na prep.
Lugha hasa ya kigeni inataka matumizi ya mara kwa mara.Zipo lugha nyingine husaulika kiasa fulani.Kwahiyo tunaweza kusema mliyosoma kipindi hicho mnamudu kuonge kiingereza vizuri?
Ili iweje! Wananchi wote wanazungumza kiswahili sisi tuwapitishe viongozi wetu kwa kizungu?
Na sisi changamoto yetu ni hapo kwenye matumizi ya mara kwa mara.Lugha hasa ya kigeni inataka matumizi ya mara kwa mara.Zipo lugha nyingine husaulika kiasa fulani.