Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani


Ok mkuu pamoja sana, Mi mwenyew hii mada niliidakia katikati. Hv sahiz Ndo nimeanza upya page ya kwanza. sitaki kupitwa.
 
Nakwambia usiamini mizimu itakupotezaaaa aliyekufa amekufaaa tuuu ni mchezo wa majiniii
 


Well, nimepata mwanga flani hapa kwenye maelezo yako, na yote ni kwa kuwa tu labda ni kwa sababu hatuwezi kujifunza kitu au makosa tuliyofanya kwa sababu hatuna memory ya yale ambayo tuliyafanya.

Tunaweza tu kujifunza na kujirekebisha kama tu, tutaweza kukumbuka jana yake tulifanya kosa gani ndipo hutupa urahisi wa kujifunza na kujirekebisha juu ya lile kosa tulilofanya ambapo tunakuwa na kumbukumbu ya kile tulichokifanya.

Hii ni kazi ya ubongo na si moyo, ama kwa lugha nyingine ni kazi ya NAFSI/UFAHAM , endapo utakosekana huu UFAHAM ni ngumu kukumbuka nini kilitokea hapo nyuma.

Roho ni uhai ambao unaishi na wala haifi milele lakini haiwezi kuwepo kwenye mwili mwengine then ukakumbuka jana yake kulifanyika kosa gani kwa sababu si kazi ya roho ni kazi ya NAFSI.

SAWA. VIPI KUHUSU REBIRTH...?.
 
Kule makaburini kuna roho ziko live kabisa na maisha yanaendelea kama kawa anayebisha anitafute nimpeleke picnic ya bure


Thanks a lot mkuu.

Hii inanihusu kiongozi na si katika kubisha, HAPANA.

Ni kwa sababu niko darasani i hope itakuwa ni moja ya kipindi ntatakiwa nikasome ili niweze ku-connect dots.

Thanks again & again mkuu.
 
Naomba mimi niwe wa kwanza kutoamini maisha ya makaburini.
Naomba nipeleke katika hiyo picnic mshana jr


Naomba mshindonyuma [feedback] juu ya hili tafadhali...!.

Natanguliza shukran.
 
Last edited by a moderator:
Ok mkuu pamoja sana, Mi mwenyew hii mada niliidakia katikati. Hv sahiz Ndo nimeanza upya page ya kwanza. sitaki kupitwa.


Thanks buddy. Welcome.

Am here still. Nime-gain baadhi ya vitu and i hope you'll gain pia.

Go through this. Welcome Again.
 
Basically there is a very slight different between soul spirit n mind because they are all doing almost same things


Hapa sjaelewa umeniacha kidogo mkuu, mind & soul can do the same things...?, well, ni kama ipi na ipi na ipi labda kiongozi...?.


and in addition they cannot be seen touched or modified in any way they are simply an energy
What I can say is soul can stand on its own but to have 'a mind' you must have a conscious soul in the live body

Kama zinaweza fanya kazi sawa inawezekana basi mind ikafanya kazi ya soul au soul ikafanya kazi ya mind au nimeelewaje hapa...?.

Na pia kwa nini tuhitaji soul ili mind iweze kufanya kazi wakati soul inaweza ika-stand on its own bila ya kuwepo mind na soul ikaendelea ku-survive bila ya uhitaji wa mind...?.

NIPO DARASANI MKUU. THANKS.
 
Karibu adebisi na sio mbaya kujongea nasi ili uweze kufahamu ulimwengu wa Giza na jinsi nguvu za Giza zinavyotumika kwa kuwa mi nilikabidhiwa bure na marehemu mzee wangu nami nitawafundisha bure kikubwa usiwe mwoga tu kwa Yale utakayoyaona


Naomba mshindonyuma [feedback] juu ya hili mkuu.

Natanguliza shukran. Thanks mkuu.
 
Thanks buddy. Welcome.

Am here still. Nime-gain baadhi ya vitu and i hope you'll gain pia.

Go through this. Welcome Again.

Nimepitia thread yote, hatimaye nimejikuta nabadilisha mitazamo nliyojengewa toka awali. thanks mtoa mada
 

Hahahaaa kwakweli mpaka leo sijui ilikuwa ni kitu gani kile
 
Last edited by a moderator:

Soul ni roho ambayo kimsingi ni energy, roho haifi, na ikimtoka mtu ndio tunaita kifo, na inaweza kwenda popote na kuingia kwenye mwili Wowote
Wakati ufahamu ni lazima kuwepo na roho kwenye mwili hai, ndio ufahamu unaweza kufanya kazi
 
NKUONA KM MJENZI HURU IVIIIIIIIIIIIIIII!!&
 
Gwajima alidai anaweza kufufua wafu .unafiki wake uliishia pale walipokufa watoto kanisani kwake.
Mavi debe ikabidi akaeleze kilicho tokea.
Hana uwezo wa Kufufua hata Nzi. Tapeli mkubwa.
Kazi kuibia ma mbulumundu tu (kondoo)
 
Gwajima alidai anaweza kufufua wafu .unafiki wake uliishia pale walipokufa watoto kanisani kwake.
Mavi debe ikabidi akaeleze kilicho tokea.
Hana uwezo wa Kufufua hata Nzi. Tapeli mkubwa.
Kazi kuibia ma mbulumundu tu (kondoo)
Na yule TiibiiJei
 
duh hii elimu ulijifunzia sehemu au kipawa kutoka kwa mungu?
iii
 
hizo zote ni propaganda za uongo za shetani kutaka kuwawekea watu hofu na kupotosha ukweli.huenda yanayozungumzwa ikawa kweli lakini mambo hayo hufanywa na shetani.kumbukeni katika bustani ya eden shetani alipinga amri ya mungu kuhusu kula tunda na madhara yake kwa kusema "hakika hamtakufa" lakini ukweli ulikuja kujulikana na Adam na hawa walikufa.huyo mwovu anataka kuindeleza propaganda yake watu waamini kua hata mtu anapokufa bado anaishi jambo ambalo ni kinyume na andiko la Ezekiel 18:4 tukitambua kua sisi wote tuna dhambi tuliorithi kupitia Adam. pia hao sijui mizuka au watu waliokufa hawana uwezo Wa kufanya lolote soma mhubiri 9:5,6,10 hawana uwezo Wa kutufanya lolote. hao wapo kaburini wanasubiri ufufuo soma Yohana 5:28,29. kwa mkataa huo roho inakufa na hakuna utofauti kati ya nafsi na mwili ni kitu kimoja na vyote hufa. wanasubiri siku ya ufufuo.nasubiri maswali yenu ila naombeni hoja yangu muifikirie kwa uzito kwani inapatana na akili kabisa
 
Umeongea kwa upande mmoja na uko sahihi kabisa lakini kwenye uhalisia duniani ina pande nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…