Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu funguka zaidi,howKwa uelewa wangu nakataa kabisa. Ni jambo linalowezekana kwa 100% kuongea na wafu. Nasio tu kuongea nao ndotoni hata moja kwa moja kanakwamba wapo hai.
Nikusaidie kitu Kaka. Hii sio elimu tu hapana ni kipawa ambacho kinakuwa connected kiuteule, nina ushahidi wa watu na tafiti kadhaa wenye kipawa chakuongea na wafu.
Pia inaweza kuwa elimu sababu kuna mtu aliwahi kuniambia nikitaka anaweza kunipa elimu na maarifa yote juu ya kuwa connected na wafu. So Duniani kuna maarifa ya Siri sana na maarifa haya yapo kwa watu wachache sana.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app