Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

toka lini wafu wakaongea hizo iman haba kwamba wafu huadhibiwa wakiwa kaburin kitu ambacho hakiwazekan ktk hari ya kawaida,nackia hata sanda inachanwa kwenye masikio ili marehem asikie sauti?!
Hiyo ya marehemu kusikia ipo for muslim katika christians hakuna.Katika uislam mtu akiwa anazikwa kuna maswali anaambiwa ukiulizwa ...jibu....Not in Christianity.Sijui kuhusu imani zingine.Imani ni nyingi na kila imani ina utaratibu wake.
 
Nani aliwapa uwezo huo, kwa nini na kwa lengo gani?
 
Kwa maana hii kama kuna mtu ninaubaya nae akifa natakiwa nisisogee kabisa msibani kwake?
 
mangatara hii habari yako imenifanya nisisimke, haya mambo yapo na watu wana shuhuda nyingi basi tu hawataki kuziweka wazi
Sasa mkuu si umesema na tunajua kwamba nafsi roho na mwili vikitengana huwa haviungani tena, na mkuu hapo juu kasema bibi yake alimtokea live, hakuwa amelala
 
Sasa mkuu si umesema na tunajua kwamba nafsi roho na mwili vikitengana huwa haviungani tena, na mkuu hapo juu kasema bibi yake alimtokea live, hakuwa amelala
Ni sahihi Kabisa kilichomtokea ni roho ya mfu(bibi yake) katika umbo na sio mwili halisi wa nyama
 
toka lini wafu wakaongea hizo iman haba kwamba wafu huadhibiwa wakiwa kaburin kitu ambacho hakiwazekan ktk hari ya kawaida,nackia hata sanda inachanwa kwenye masikio ili marehem asikie sauti?!
Kipi kilichokujulisha kwamba hizo ni imani haba?
 
toka lini wafu wakaongea hizo iman haba kwamba wafu huadhibiwa wakiwa kaburin kitu ambacho hakiwazekan ktk hari ya kawaida,nackia hata sanda inachanwa kwenye masikio ili marehem asikie sauti?!
Hali ya kawaida ipi unayoizungumzia wewe?Cha ajabu kwako kwao cha kawaida.Na wakubwa katika elimu husema "Ukijua sababu kuwepo kitu fulani,basi ajabu hutoweka".Katika hili kuna mifano kadha wa kadha.Mfano ukijua ni vipi simu hufanya kazi,ajabu yake hutoweka.Embu tupe usahihi wa imani juu ya hilo.
 
Kuna sehemu niliwahi kusoma kichwa kilisema...'NO ONE EVER REALY DIE'...n.e.r.d....
Pia nimwahi kushuhudia katazo la marehemu asizikwe mahala fulani,lakini familia wakapuuza,,kilichotokea baada ya kukaidi wosia wa marehemu...ni msiba mwingine.... mwishoe alizikwa aliposema...na taratibu za msiba mpya zikaanza.....
 
mshana jr umewahi kukutana na habari ya mgonjwa anakaa wiki hata zaidi hali, hanywi kuna wakati hapumui (wenyewe wanasema mizimu iliyotangulia haitaki kumpokea ili afe kwa madai aliwakosea marehemu) japo inafika mida anashituka na kutulia tena.
 
Hawa ndio wale wanaoitwa walikufa wakaenda kuzimu kisha wakarudi kule Misozwe namjua mmoja mpaka leo hazijarudi vizuri
 
Jamani vitu vipo nilishuhudia nilipofiwa na dada yangu hakuna aliyekuwa anajua pasword yake ya bank huwezi amini baada ya msiba siku ya tatu nilihisi kama kuna mtu ananifosi niende kabatini kwenyee pochi lake nikakuta kitabu kidogo nikafungua kama page mbili nikakutana na no zimeandikwa nilihisi mtuanasema no hiyo katoeni pesa kweli kabisa ndio no sahihi mpaka leo huwa nikikumbuka nasisimka sana kweli mambo haya yapo
 
kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…