Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Polen sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] polen sana
 
hii ni mbinu ya shetani ibilisi ya kutaka kuwafanya watu wawe kinyume na mafundisho ya biblia kuhusu wafu ila ukweli ni kwamba ukishakufa ndio mwisho wa maisha yako hakuna kinachoendelea tena.

Wewe unaamini biblia wengine hatuamini,unaongea as if kila Mtu humu ni muumini wa biblia .Sio lazima kila usichokubaliana nacho kwa muktadha wa imani yako ukiite ushetani.biblia ni kitabu cha juzi,kulikua na maisha pia kabda ya biblia after all hii mada sio ya kidini bali ni nyie ndio mnataka kuharibu somo,biblia this biblia that.Akili zinazunguka kwenye vitabu vya dini tu ndiyo maana wengi mnashindwa kujifunza.Be open minded ,jifunze jinsi ya kujifunza na kuheshimu kile ambacho unahisi kinaenda tafauti na imani yako.
 

Yeah ,it makes sense .Pia kwa kujazia ,kuonja means ku taste ,hii inadhihirisha kuwa kinachokufa ni mwili ,sababu ili uweze kuonja na ku feel kitu ni lazma uwe hai ,so ni nafsi ndiyo inaonja mauti kwasababu ndiyo yenye kubaki hai,kwa maana ndiyo itakayo feel na ku experience hizo feelings,vibrations,denial .sadness,regrets etc etc hence KUONJA,so it tastes.

This makes really sense that we are more than this physical body .And death is not just the end of life ,it is the beginning of new life .For sure death is transition state,and I guess it is very good ,death is very good ,because it tells us who we truly are .Think of it.
 
[emoji115] [emoji106] [emoji817] [emoji817] [emoji817]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa mtu ambaye nilidili na miili ya marehemu kwa miaka mitatu mfululizo nilikutana mara nyingi tu na hizi hali, marehemu hataki dharau ubishi au kufokewa nguo hata iwe inamtosha Siku hiyo itakataa mpaka mumbembeleza

[/QUOTE]
excuse me najua thread ni ya zamani lakini mshana jr how ??hii inatokea very strange
 
Nikiwa mtu ambaye nilidili na miili ya marehemu kwa miaka mitatu mfululizo nilikutana mara nyingi tu na hizi hali, marehemu hataki dharau ubishi au kufokewa nguo hata iwe inamtosha Siku hiyo itakataa mpaka mumbembeleza
excuse me najua thread ni ya zamani lakini mshana jr how ??hii inatokea very strange[/QUOTE]
Roho zao bado zinakuwa mazingira hayo... Inasemekana kwa baadhi ya imani am tamaduni kwamba kuinua tanga ndio kuagana na Roho kimoja
 
Mkuu Mshana swali moja LA kibashite kwako tafadhali,Hivi in kwanini unapoiachanisha roho nabmwili wakati was kufanya Astral Projection huwa hakuna maumivu yoyote tunayohisi ila inasemekana roho inapoacha mwili wakati wa umauti kiumbe huwa kinapata maumivu Makalu sana hata baadhi ya vitabu vya dini vimethibitisha jambo hili na hats mimi nimeshashuhudia mtu akifa mubashara kwa macho yangu kiukweli aliweweseka sana mpaka usiku was siku hiyo nilishindwa kulala.......Mchango wako japo kidogo kama hutojali
 

Mfano Wa kitabu gani cha dini kinasema Mtu akifa anaumia ?

Vipi na wale wanaokufa usingizini,? Sipingi kama hakuna maumivu but sijui kama ni kweli au si kweli ila kuna vifo vya aina nyingi ,wapo watu kweli wanapata shida sana siku ya mauti yao ,na wapo wengine wanakufa taratibu na kwa amani,na wapo wengine umekaa nae hapo na anakufa bila we kujua.yaani kwa upole kabisa .Labda mshana atusaidie hapa .
 
Hapo kuna mambo machache ya kuzingatia
Astral projection ni voluntary action na ni go n comeback process wakati kifo ni involuntary action and has no coming back process
Lakini pia kuna peaceful death hapo kuna compromising situation ya roho kwamba now am going forever.... Situation uliyoiona wewe inaitwa HARI ZA KIFO, death agonies, roho inakuwa haiko tayari kuachana na mwili....
 
Hebu cheki post namba 499 nimejibu
 
Mkuu Mshana.

Tanga twaamini sana matambiko na hiyo ndiyo jadi yetu si wabondei, wazigua wasambaa na hata wasegeju.

Hata baadhi ya makabila mengine wana taratibu zao za kutambika.

Wakati naishi Ireland niliwahi kuona wenzetu wazungu wa kabila la Irish wale wanaoitwa Gipsy wao wanakwenda kwenye makaburi ya waliotangulia na kutumia siku nzima kushehereka kwa kunywa pombe pamoja na kucheza muziki kwenye eneo hilo.

Haya matukio ya jadi hizi yapo sehemu nyingi duniani na watu hupita wakifanya mambo haya waziwazi.

Lakini je, ni vizuri kila siku kusafisha kaburi kwa mazungumzo na roho ya marehemu au inahitajika kipindi maalum kila mwaka?

Ikiwa ni roho tu basi twaweza kuzungumza nayo mahali popote tulipo bila kwenda kaburini.

Je, jadi yaweza kuachwa bila madhara?

Au wewe waonaje kwenye hili?

Maana mimi nimekuwa mzito sana kwenda Potwe miaka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…