Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Kuna marehem alipigwa ngumi na mjane aliemwacha hadi ALIPIGA CHAFYA, DSM: katika hali ya taharuki mama mmoja ilikuwa 1992 hapa DSM alijikuta amemdufua marehem mmewe ngumi mbili za tumbo hadi marehem alipiga chafya na mguno wa ajabu baada ya kufia kwa kimada ambako alijenga nyumba na kununua gari na akati mke wa ndoa alitelekezwa akipika v2mbua kwenye nyumba ya kupanga ndugu walipofika waliamuru marehem atolewe mchepukoni na akarudishwa nyumba kubwa ndipo mke wa ndoa akiwa hajui akakuta watu wengi alipouliza kulikoni ndo akaambiwa ndani kuna mwili wa mmewe akaingia ndani akamfunua watu wakajua labda anampa busu la mwisho wakashangaa ngumi ya kwanza ya pili mara marehemu akaanza kuhema mara FYAKA FYAKA kumbe ilikuwa chafya due chezea hasira weye
Mkuu tupe break hili kaburi kubwa sana, linahitaji nguvu nyingi kulimaliza kulifukua kwa sasa........
Ukweli nikuwa Biblia ipo wazi kuwa "..mtakufa HAKIKA..." na kuwa "... wafu hawajui jambo lolote ..." once they are dead!Mko tofauti Na nini biblia inasema
Duu kweli kisambaa na kibondei ni lugha mbili zisizokuw na tofauti saanaaa.., big upZumbe nkwei kabisa mghoshi ne tivye tambika uko shambaai.
"Mtakufa HAKIKA" inamaanisha nini? Kama hakuna "kufa HAKIKA" basi shetani alimwambia ukweli Adam kuwa "... hakika hamtakufa, isipokuwa mtafanana na Mungu (ambaye ndiye asiyekufa pekee). The soul doesnt exist when we die. We dont die partially, we die 100% hakuna kumbukumbu, hakuna kinachobakia mpaka siku ya kiama mwenyewe atakaporudi kutufufua. If the soul remains alive, what is the resurrection for?But the soul is alive.. What dies its a physical body.... The mortal
Do you know anything about rebirth? Or reincarnation? Do you really know what is resurrection mean? What dies is this visible body.. Soul once created can never be demolished in any way"Mtakufa HAKIKA" inamaanisha nini? Kama hakuna "kufa HAKIKA" basi shetani alimwambia ukweli Adam kuwa "... hakika hamtakufa, isipokuwa mtafanana na Mungu (ambaye ndiye asiyekufa pekee). The soul doesnt exist when we die. We dont die partially, we die 100% hakuna kumbukumbu, hakuna kinachobakia mpaka siku ya kiama mwenyewe atakaporudi kutufufua. If the soul remains alive, what is the resurrection for?
Uzi murua kabisa ndg mshana jr,hongera na ninashukuru sana kupitia eneo hili.
NISHAKUTANA NA VINGI ILA HIKI NI CHA KARIBUNI TU.
Hapa nyumbani kwetu tulikuwa na mpangaji(mwanamke) ambaye alipanga kwa kitambo kidogo.Alikuwa akiishi na mtoto(umri kati ya miaka 13) wa ndg yake lakin baadae wakahamia kwny nyumba yao mpya.
Walipohama niliweza kukutana mara kadhaa na mama huyo na kumsalimiana nae na mara moja moja sana nilikutana na yule mtoto.
.......HISIA MBAYA.....
Siku moja asubuh kama saa tatu asubuh nilitoka nyumban kuelekea mjini nikiwaza pia nipitie nmsalim yule mama pia nkakumbuka kuwa yule mtoto sjamuona muda kidogo...hivyo nikawa na shauku ya kutaka kumwona yule mtoto,nikiwa njian hali ya ajabu ikaanza kunijia. nkaanza kutojisikia amani,kuhisi roho kama inanichomoka,mara kama kuna mtu ananifata na upepo kunizongazonga hivi(eneo hilo pia kuna majeneza yalikuwa yaktengezwa na kuuzwa)....nliendelea na safar nkafika kwa yule mama kwel nkamsalm nkapiga soga kidogo afu nkaondoka...umbali wa dakika tatu tu toka ofisini kwa yule mama nkakutana na yule mtoto moyo ulishtuka kiasi(sikujua kwa nn),nkasalim,nakumsihi ajitahid na masomo....tukaachana yy akielekea ofisini kwa yule mama....
.......MSIBA SIKU YA PILI YAKE....
Asubuhi saa 2 tulipokea habar za msiba za mtoto yule maana tairi la semitrela lilichomoka na kumkuta yy wakati akivuka barabara anavoenda shule...ni yy tu ndo lilimkuta tairi lile...
......SIKU TATU BAADAE...
Siku hiyo niliota ndoto nko nyumbani pale ndani ya banda la kuku.Nilitazama nje ya banda hilo nkamwona mtoto yule,nakumbuka sikuwa nasikia sauti ya kitu chochote...ulikuwa ni utulivu mwanana sana...mtoto yule alikuwa akitabasam.(moyoni mwangu nkakumbuka kuwa yule ni alishafariki).Sjui nilijuaje ila tu nakumbuka nilimwambia kimoyonimoyoni UPUMZIKE KWA AMANI,naye alitikisa kichwa kwa ishara ya kukubali..akapotea...
SIJAMUOTA TENA MPAKA LEO.
Mungu ampumzishe kwa amani.Amen
Mshana niambie wazo la kutokufa kabisa kupingana na neno la Mungu la kuwa "...utakufa HAKIKA..." (Mwanzo 2:17) ni nani kama siye shetani aliyemwambia Eva/Hawa kuwa .... HAKIKA HAMTAKUFA... (Mwanzo 3:4). Inategemea kuwa nani unamwona kuwa yupo sahihi, Mungu aliyesema tutakufa HAKIKA au shetani aliyemdanganya Eva kuwa badala ya kufa (ie: ...hamtakufa hakika) bali tutafanana na Mungu. Naamini Mungu ndiye asiyepatikana na mauti na shetani ndiye aliyeleta hilo wazo la binadamu kutokufa kabisa. Unless kama hoja hii ya kutokufa unaijenga nje ya Biblia basi hoja ya kutokufa unaweza kuitetea lakini usiitete kwa mamlaka toka katika Biblia.Do you know anything about rebirth? Or reincarnation? Do you really know what is resurrection mean? What dies is this visible body.. Soul once created can never be demolished in any way
Ndio maana siku ya ufufuo siku ya hukumu, wafu watakaofufuka sio wa kimwili tena bali roho na hukumu itakapopita ni either jehanum kwenye moto wa milele au mbinguni paradise kula bata milele... Hii ni kwa imani ya MUNGU mmoja
Kwa zile imani za waabudu miungu, ukifa roho yako itabadili makazi jumba kulingana na your past life... Unaweza kuzaliwa demon mnyama ama binadamu... And the circle continues to eternity.... There is no such a thing DEATH TO SOUL
Mfu ni mfu na hatuna uwezo wowote iwe wa kimwili au wa kiroho kuweza kumuita na kuongea naye lolote, hii ni kwakuwa roho inapotengana na mwili hakuna tena huyo MTU bali kunatokea vitu vitatu visivyoweza kuungana tena na kutengeneza kitu kimoja. vitu hivyo ni roho mwili na nafsi, vitatu hivi ndio vinatengeneza MTU nje ya hapo kuna 'mwili wake', 'roho yake' au 'nafsi yake'
Ufufuo mkuu haujaletwa na shetani lakini kumbuka hiloMshana niambie wazo la kutokufa kabisa kupingana na neno la Mungu la kuwa "...utakufa HAKIKA..." (Mwanzo 2:17) ni nani kama siye shetani aliyemwambia Eva/Hawa kuwa .... HAKIKA HAMTAKUFA... (Mwanzo 3:4). Inategemea kuwa nani unamwona kuwa yupo sahihi, Mungu aliyesema tutakufa HAKIKA au shetani aliyemdanganya Eva kuwa badala ya kufa (ie: ...hamtakufa hakika) bali tutafanana na Mungu. Naamini Mungu ndiye asiyepatikana na mauti na shetani ndiye aliyeleta hilo wazo la binadamu kutokufa kabisa. Unless kama hoja hii ya kutokufa unaijenga nje ya Biblia basi hoja ya kutokufa unaweza kuitetea lakini usiitete kwa mamlaka toka katika Biblia.
Nitampaje since hiyo zawadi alitakiwa atumie katika umbo la mwili,nielezee zaidi plz...Timiza ahadi yako kafa Mwili sio roho