OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Hiyo ni process ambao iko automatic haina ujanja wote na ubinaadamu muumbaji ni Mungu tu, sisi kazi yetu ni kukalili notes za sayansi tu.Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes).
Yai la mwanamke lina milango mitatu ambapo Mbegu hutegemea kupita kwa kulitoboa, (cumulus oophorus), (corona radiata) na (zona pedllucida) ndio maeneo maalum ya yai la mwanamke ambapo mbegu ya mwanaume huingia kwenye yai kupitia maeneo hayo.
View attachment 2628606
Inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes). Kukiwa na changamoto yoyote kati ya hizo, mbegu haiwezi fanya kaziJambo linalotatiza wemgi ni namna ya kusiobgezea nguvu hizo mbegu ilu zipenye Vizuri yai la mwanamke
hakuna kitu cha namna bali ukiwa addicted mbegu huwa hazikomai vizuri kwa sbb ya kumwaga kila sikuKupiga chaputa kuna athiri vipi mbegu za uzazi kushindwa kurutubisha yai
Sio wewe uliyesema nimeskia watu wakisema