Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
- Thread starter
-
- #81
Naona umekamatia mpini.
Sasa kama hakuna meseji ya maana mbona una weweseka
Unajua Hip Hop wewe! Hip Hop is about reality, No blah blah in Hip Hop. Wewe tunakujua ni Mzee wa kusifu na kuabudu lijiwe, huna jipya. Hujui hip hop labda taarabu.
Hiyo ngoma imesimama sana, umenifanya nianze kuisikiliza upya hapa kwenye daladala
"Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia."
"Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia"
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Ndugu mtoa mada naomba unifafanulie maana halisi ya maneno haya "nadharia" na "uhalisia"
[emoji117]maana kauli hizo umezitumia ktk sentensi mbili tofauti ukitoa maana ya ukinzani ilihali zina maana moja.
Ww sio mwanamuziki huwezi kumkosoa mwanamziki
Ww sio daktari huwezi kumkosoa daktari katika kutib
Ww sio kocha wala hukiwahi kucheza mpira huwezi kukosoa wachezaji wa mpira
Kujifanya ujuaji wa Kila jambo wakati huna ujuzi nalo ni dalili ya ukichaa
Wewe umetumia vigezo gani kutambua huo udogo wa uwezo?
Wewe unadegree ngapi katika mziki wa hip hop Mana tumeambiwa nyie wenye degree nyingi ndo mnaupeo mkubwa wa kupambanua Mambo
Mkuu tukiacha ushabiki je kuna nini cha ziada tumejifunza kwenye Huu wimbo
Kawe Alumni,
Watu wanataka bima ya afya na sio midege.
Roma namkubali sana ila katika nyimbo zake zote za kiharakati kwa hii ameshuka kiwango kidogo
Kweli UJINGA ni mzigo mkubwa kuliko kontena la korosho ghafi, yaani ambazo hazijabanguliwa na wanajeshi kwa meno.Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia.
Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia
Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Umefanya nn cha maana?Mimi sio wanamuziki, ila ukweli usemwe
Na atakamatia mimbaNaona umekamatia mpini.
Hiyo lazima aipate.Na atakamatia mimba
Atafanya yote tumuombee na tuimbe yesu nibebe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]''Kwetu Bima ya afya ni bora kuliko Ndege' anaitwa Roma
Tuyaache ayo [emoji41] vip korosho za mtwara maana wapiga kura wengi n wakulima na wafanya biasha [emoji849][emoji849][emoji849]Mbona wapinzani mlikuwa mnasema Nchi isiyomiliki usafiri wa anga ni sawa na Nchi iliyokufa kiuchumi?
Nipe link ya wimbo wako nilinganishe na RomaHuyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.
Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia
Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka
Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke