Uwezo wa Roma Mkatoliki kutunga na kuandika nyimbo za harakati za kisiasa na utawala ni mdogo mno

Uwezo wa Roma Mkatoliki kutunga na kuandika nyimbo za harakati za kisiasa na utawala ni mdogo mno

Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Unajua Hip Hop wewe! Hip Hop is about reality, No blah blah in Hip Hop. Wewe tunakujua ni Mzee wa kusifu na kuabudu lijiwe, huna jipya. Hujui hip hop labda taarabu.
 
Wewe unauwezo mdogo kama Roman mcatholic
"Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia."


"Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia"



[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Ndugu mtoa mada naomba unifafanulie maana halisi ya maneno haya "nadharia" na "uhalisia"

[emoji117]maana kauli hizo umezitumia ktk sentensi mbili tofauti ukitoa maana ya ukinzani ilihali zina maana moja.
 
Sio mwanamuziki lkn naelewa uwezo wa wanamuziki
Ww sio mwanamuziki huwezi kumkosoa mwanamziki
Ww sio daktari huwezi kumkosoa daktari katika kutib
Ww sio kocha wala hukiwahi kucheza mpira huwezi kukosoa wachezaji wa mpira
Kujifanya ujuaji wa Kila jambo wakati huna ujuzi nalo ni dalili ya ukichaa
 
Kwani lazima usome Ndio uweze kutambua?
Wewe umetumia vigezo gani kutambua huo udogo wa uwezo?

Wewe unadegree ngapi katika mziki wa hip hop Mana tumeambiwa nyie wenye degree nyingi ndo mnaupeo mkubwa wa kupambanua Mambo
 
CCM sikilizeni nyimbo za uwezo wenu kwa Wasanii kama Harmonize, Hizi za Roma akili kubwa hamtaelewa kitu hahaa.
 
Nimefatilia sana post na comments zako mtoa mada endeleza juhudi uteuzi waja
 
Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia.

Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia

Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Kweli UJINGA ni mzigo mkubwa kuliko kontena la korosho ghafi, yaani ambazo hazijabanguliwa na wanajeshi kwa meno.

1. Umesema uwezo wake ni mdogo kwa hiyo hajimudu hata kufikisha ujumbe ALIOUKUSUDIA... 😀 😀 😀. Umejuaje kwamba huo ujumbe uliokufukia sio alioukusudia? Mlijadiliana naye akakwambia unachoelewa sio alichokusudia?

2. Umepata muda wa KUSIKILIZA (bila shaka umesikia redioni) lakini HUJAONA cha maana. Jombaa, ukitaka kuona, washa ANGALIA VIDEO, kwa kusikiliza huwezi kuona.

3. Unawasemea watu gani kuwa MNAWACHOKA wanamuziki wa sasa? Watu hao hao ambao umetoka kuwashangaa kwa jinsi walivyoupokea wimbo kwa kishindo?

Una kazi ngumu sana.
 
Mbona wapinzani mlikuwa mnasema Nchi isiyomiliki usafiri wa anga ni sawa na Nchi iliyokufa kiuchumi?
Tuyaache ayo [emoji41] vip korosho za mtwara maana wapiga kura wengi n wakulima na wafanya biasha [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.

Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia

Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka

Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Nipe link ya wimbo wako nilinganishe na Roma
 
Back
Top Bottom