Uwezo wa Roma Mkatoliki kutunga na kuandika nyimbo za harakati za kisiasa na utawala ni mdogo mno

Sio lazima uelewe kilichoimbwa.Wako wenye akili zao wameelewa.Sio kila kitu ni chakila mtu.
 
Sio mwanamuziki lkn naelewa uwezo wa wanamuziki
Hoja zako dhaifu sana that's why tunakuambia hujui muziki kwakuwa ungekuwa unajua hip hop usingesema Roma hajui mziki
Anachofanya Roma ndio maana ya neno hip hop ilipoanzia
Muziki wa hip hop ulianzia marekani baada ya watu weusi kuwa wanabagaluliwa na kuonewa na serikali ya watu weupe wakaanzisha kama aina flani ya muziki ili kujikomboa kutoka ktk ubaguzi wa serikali ya marekani ndio utaona hip hope yaan kujipa matumaini ipo siku watashinda
Ndivyo anavyifanya Roma kama wale wamarekani weusi dhidi ya serikali dhalimu ya watu weupe
Unakuja ww huna unachojua kuhusu mziki wa hip hop halafu unasema Roma hajui wakati ww inaonyesha hata historia ya hip hop hujui
 
Mkuu ukiona hivyo jua tu fasihi imekupiga chenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye mziki
 
Lkn hata km sijui tungo bora nitajua tu
 
Nazungumza ukweli wimbo haueleweki Mkuu
Kwa uwezo wako huu wa kufikir mwalim wako alipata shida sanaa,kwamba hujaskia ujumbe wwte kweny huo wimbo?kwel we wa kupeleka memkwa
 
Ukimfuatilia zaid huyu mtoa uzi

Sio kwamba ni shabiki wa mziki hapana

Kama huyu jamaa hajateuliwa na jiwe, either mwenyekit wa kijij, dc wala Rc basi atakuwa anatafuta teuzi kwa kasi sanaa

Koz anasifia kila kitu jiwa anachofanya hata kama ni ujinga, yey n yes,

Kila anayejaribu kuikosoa hii serikali hata kwa nia njema basi n adui yake,

Huyu ni kilaza flani anayetafuta teuzi lumumba kwa kusifia kila kitu,

Ndio maana roma alivotoa hii nyimbo kaimba ukweli mtupu, ila kwa vile jamaa n mpambe, katoka jukwaa la siasa mpaka celebrity kuja kumkosoa Roma

Watu kama hawa wapo weng, hawajitambui, wanagombania buku saba za lumumba wapo tayar kuwa wanafiki ulmradi wamridhishe jiwe, nadhan hata Mungu anawashangaa

Hawa watu ni moja ya masnich ambao tunatakiwa tuwajue, kwan ndio wanasababisha mpaka sasa Tanzania n masikin, watu wanaishi maisha magumu, biashara n ngumu, kod zinazid, wenyewe huku wenyewe wakitoa macho na kukenua so sad
 
Hutuambii umesikiliza nyimbo gani???

Na mashairi yapi umeyaona yana mihemuko ili angalau basi tukuamini, jifunze unapokosoa haswaa kazi ya fasihi ama sanaa yoyote usilete hoja za jumla jumla, jaribu kufanya rejea ili wasiofahamu wapate kufahamu na wanaofahamu wapate kukuunga mkono ama ueleweke.

Isije ikawa ati unajipiga kifua una degree kadhaa lakini hujui kufanya uchambuzi wa kazi ya fasihi jambo ambalo ulifundishwa sekondari.

Kwa uwasilishaji hoja huu hapana
 
Tuba wasiwasi wewe utakuwa ni mwakiembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…