Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima uelewe kilichoimbwa.Wako wenye akili zao wameelewa.Sio kila kitu ni chakila mtu.
Nipe link ya wimbo wako nilinganishe na Roma
Tuyaache ayo [emoji41] vip korosho za mtwara maana wapiga kura wengi n wakulima na wafanya biasha [emoji849][emoji849][emoji849]
Hoja zako dhaifu sana that's why tunakuambia hujui muziki kwakuwa ungekuwa unajua hip hop usingesema Roma hajui mzikiSio mwanamuziki lkn naelewa uwezo wa wanamuziki
Wewe jamaaa ni fala sana!Mimi sio wanamuziki, ila ukweli usemwe
Kwa uwezo wako huu wa kufikir mwalim wako alipata shida sanaa,kwamba hujaskia ujumbe wwte kweny huo wimbo?kwel we wa kupeleka memkwaMkuu tukiacha ushabiki je kuna nini cha ziada tumejifunza kwenye Huu wimbo
Mkuu ukiona hivyo jua tu fasihi imekupiga chenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye mzikiHuyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.
Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia
Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka
Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Hoja zako dhaifu sana that's why tunakuambia hujui muziki kwakuwa ungekuwa unajua hip hop usingesema Roma hajui mziki
Anachofanya Roma ndio maana ya neno hip hop ilipoanzia
Muziki wa hip hop ulianzia marekani baada ya watu weusi kuwa wanabagaluliwa na kuonewa na serikali ya watu weupe wakaanzisha kama aina flani ya muziki ili kujikomboa kutoka ktk ubaguzi wa serikali ya marekani ndio utaona hip hope yaan kujipa matumaini ipo siku watashinda
Ndivyo anavyifanya Roma kama wale wamarekani weusi dhidi ya serikali dhalimu ya watu weupe
Unakuja ww huna unachojua kuhusu mziki wa hip hop halafu unasema Roma hajui wakati ww inaonyesha hata historia ya hip hop hujui
Kwa uwezo wako huu wa kufikir mwalim wako alipata shida sanaa,kwamba hujaskia ujumbe wwte kweny huo wimbo?kwel we wa kupeleka memkwa
Mkuu ukiona hivyo jua tu fasihi imekupiga chenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye mziki
Sio kweli Mkuu
Naweweseka umeniona? Bure kabisa we kijana
Hutuambii umesikiliza nyimbo gani???Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.
Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia
Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka
Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
Tuba wasiwasi wewe utakuwa ni mwakiembeHuyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe unaoleweka.
Hawa vijana wangejifunza kwa majabali ya muziki waliotangulia akina marijani rajabu na wengine. Nimepata muda wa kusikiliza wimbo wa Roma mkatoliki sijaona cha maana wala meseji za kueleweka zaidi ya upayukaji tu. Nashangaa Kwanini watu wamehamaki wakati ni wimbo wa kawaida tu uliojaa hisia kuliko uhalisia
Mimi nilikuwa mfuasi wa nyimbo za Mr.Sugu, Profesa Jay, Solo thang na Afande Sele kwenye upande wa nyimbo za kufoka foka
Hawa wanamuziki wasasa sio wabunifu ni muda sasa tuwachoke
kumbe hauelewek?ss c ndo ungeomba uelewesh na c kuandika gazet kubwa lisilo na naana yyteNazungumza ukweli wimbo haueleweki Mkuu