Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

katib mkoa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,574
Reaction score
2,161
Mnaosema hakuna kama Gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
 
Umeanza kufuatilia mpira katika Era ipi?? Yaani katika miaka ipi ulikuwa upo serious na mchezo wa mpira???

Uliwahi kufuatilia mechi ambazo Gaucho alikuwa anakuwa featured katika level ya club na timu ya Taifa???

Majibu ya maswali yako naweza kujaribu kukujibu kama ifuatavyo..

Uwezo:

Alikuwa na uwezo wa ku dribble, stamina ya kuficha na control ya hali ya juu!!

Pia alikuwa na skills, creativity ya hali ya juu ambapo aliweza kuonesha utofauti akiwa uwanjani..

Nawakubali sana Messi na Ronaldo ila siwezi kudharau wa nyuma yao maana kila zama na ma gwiji wake
 
rate ya dribble ya messi unalinganisha na gaucho ?

nimkutajia vitu hapo juu je gaucho anawafikia hawa watu?

ukitoa control ya mpira
 
Unapozungumzia ubora wa mchezaji huwezi kukwepa mafanikio yake, jiulize huyo messi na ubora wake binafsi angecheza Sevilla Fc angefanya nini cha maana?
dribble haitegemei club mkuu

ndo maana nikasema uwezo binafs ambao hata akija yanga utakuepo tu

freekick hata akija ndanda atafunga tu
 
Chuki zako haziwezi kubadilisha ukweli, una shida kichwani kumlinganusha Gaucho na Neyma.
nimemjibu jaamaa ivo tu

uzi ni mesi/ronaldo maana kuna watu wanasema kawazidi hawa watu ndo nauliza kawa zidi nini ?
kwa sifa nilizotaja hapo au wewe una maneno tu
 
rate ya dribble ya messi unalinganisha na gaucho ?

nimkutajia vitu hapo juu je gaucho anawafikia hawa watu?

ukitoa control ya mpira
Sasa mbona una limit vigezo vya kusifia ubora wake??? Kwanini tuishie katika kujadili mambo ya dribbling tu!! Kwanini ball control ionekane ni kitu cha kawaida sana kwako???

Mimi naona huu ni mjadala wa mabishano tu.. Let's agree to disagree!!!

Siku njema Mkuu
 
Matatizo haya tena makubwa.kawaulize messi na c,ronaldo watakupa majibu.
NB;Messi na C,ronaldo wamemzidi RONALDINHO GAUCHO magoli tu.
hahaha mkuu unamiliki timu yako unaambiwa uchague mmoja kati yao unachukua nani?

A
mtu anaekupa goal 30 ña assist 20 na chance created za kutosha kila msimu au mtu anaegandisha mpira kifuani

jibu. hapo
 
Gaucho kabeba worl cup ila messi na ronaldo hawajabeba word cup.
dembele ana world cup unajua hilo

uyo gaucho amfikii makombe pedro inajua hilo

nimesema tujadili uwezo binafsi ambao mchezaji anabaki nao hata aende ndanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…