katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Mnaosema hakuna kama Gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?