Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dinho alikuwa na akili ya ajabu sana, aliwatungua Chelsea pale darajani goli ambalo halijawahi kufungwa tangu dunia imeumbwa. Goli mayenudembele ana world cup unajua hilo
uyo gaucho amfikii makombe pedro inajua hilo
nimesema tujadili uwezo binafsi ambao mchezaji anabaki nao hata aende ndanda

Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?

burudani ya kuweka mpira kwenye kisigino namkubali piaMpira ni burudani na mpira wa gaucho una kika aina ya vionjo ili kukamilisha BURUDANI kwa wapenzi wa soka.
naulizia ana goal bora la dunia?Dinho alikuwa na akili ya ajabu sana, aliwatungua Chelsea pale darajani goli ambalo halijawahi kufungwa tangu dunia imeumbwa. Goli mayenu
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
ujanielewa wewe haina haja ya kumuangalia ytubeNenda kamwangalie YouTube halafu rudi ujadili
hapana sijalimit ila nimesema tusijadili makombeSasa mbona una limit vigezo vya kusifia ubora wake??? Kwanini tuishie katika kujadili mambo ya dribbling tu!! Kwanini ball control ionekane ni kitu cha kawaida sana kwako???
Mimi naona huu ni mjadala wa mabishano tu.. Let's agree to disagree!!!
Siku njema Mkuu
ukiangalia klip utajidanganya kama hukumuona laivu mkuu
magoli?Matatizo haya tena makubwa.kawaulize messi na c,ronaldo watakupa majibu.
NB;Messi na C,ronaldo wamemzidi RONALDINHO GAUCHO magoli tu.
burudani yako ioneshe matokeo au muelekeo chanya katika timu kupata ushindiMpira ni burudani na mpira wa gaucho una kika aina ya vionjo ili kukamilisha BURUDANI kwa wapenzi wa soka.
twende taratibuWewe hujielewi[emoji848]
upo sahihiNi Gaucho tu na Diego ndio waliowahi kupigiwa makofi Santaigo bernabeu,ukiuliza mpira unataka nini zaidi,utakwambia unamtaka gaucho