Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

dembele ana world cup unajua hilo

uyo gaucho amfikii makombe pedro inajua hilo

nimesema tujadili uwezo binafsi ambao mchezaji anabaki nao hata aende ndanda
Dinho alikuwa na akili ya ajabu sana, aliwatungua Chelsea pale darajani goli ambalo halijawahi kufungwa tangu dunia imeumbwa. Goli mayenu
 
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
 
Mpira ni burudani na mpira wa gaucho una kika aina ya vionjo ili kukamilisha BURUDANI kwa wapenzi wa soka.
burudani ya kuweka mpira kwenye kisigino namkubali pia
ila ukamilifu wa mchezaji hawafikii hawa watu
messi ronaldo wana kila kitu tena kwa asilimia za juu kabisa
 
Dinho alikuwa na akili ya ajabu sana, aliwatungua Chelsea pale darajani goli ambalo halijawahi kufungwa tangu dunia imeumbwa. Goli mayenu
naulizia ana goal bora la dunia?

goal alilofunga messi kwa boateng uliliona?

simsemi ronaldo sababu yeye tayari ana goal bora la dunia
 
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
 
Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?

Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo

Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?

Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe

Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi

Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
 
Nenda kamwangalie YouTube halafu rudi ujadili
ujanielewa wewe haina haja ya kumuangalia ytube
na tumemshuhudia wote

ukitoa danadana ronadinyo unaweza msajili kwenye timu yako?
mbele ya messironaldo

ikitoa danadana messironado wanafanya yote ya gaucho mara tatu zaidi

unaweza taja ambacho kawazidi ukitoa kuweka mpira mgongoni?
 
Sasa mbona una limit vigezo vya kusifia ubora wake??? Kwanini tuishie katika kujadili mambo ya dribbling tu!! Kwanini ball control ionekane ni kitu cha kawaida sana kwako???

Mimi naona huu ni mjadala wa mabishano tu.. Let's agree to disagree!!!

Siku njema Mkuu
hapana sijalimit ila nimesema tusijadili makombe

tuongelee mambo binafsi ya mchezaji

control iliopitilza haina madhara katika soka/mechi

na nimekiri alichowazidi ni iko tu na si vingine kama unacho kitaje
 
u

ukiangalia klip utajidanganya kama hukumuona laivu mkuu

mpira dakika 90 na unafanya nini kila zikija dakika 90!

mtu ambae anazidiwa tena kwa data si maneno kuanzia

creativit
assist
shoot
pass accuracy
dribble

unasemaje ni bora
 
Matatizo haya tena makubwa.kawaulize messi na c,ronaldo watakupa majibu.
NB;Messi na C,ronaldo wamemzidi RONALDINHO GAUCHO magoli tu.
magoli?

vipi kuhusu
assist
dribble per game
chance created
shoot
pass accurate
dribble speed
solo goals
free kick
 
Ni Gaucho tu na Diego ndio waliowahi kupigiwa makofi Santaigo bernabeu,ukiuliza mpira unataka nini zaidi,utakwambia unamtaka gaucho
 
Mpira ni burudani na mpira wa gaucho una kika aina ya vionjo ili kukamilisha BURUDANI kwa wapenzi wa soka.
burudani yako ioneshe matokeo au muelekeo chanya katika timu kupata ushindi

ushasikia mtu akilalamikia mchezaji kwanini hakupiga kisigino pale au hakugandisha mpira kifuani wakati wa mchezo?

mara nyingi hua tunauliza kwanini jamaa hakutoa assist ,shoot,dribble,create chance
 
Ni Gaucho tu na Diego ndio waliowahi kupigiwa makofi Santaigo bernabeu,ukiuliza mpira unataka nini zaidi,utakwambia unamtaka gaucho
upo sahihi
ndo maana nikasema gaucho zaidi ya danadana hana kitu

ushawahi ona wapi wakatoa takwimu za visigino wakati wa mpira

ukiangalia livescore ushakuta mchezaji wakamuandikia kwamba kaweka mpira mgongoni mara tano
 
Back
Top Bottom