Cheef Baroka
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 491
- 1,010
Sasa mbona vitu ulivyovitaji Cr7 ana viwili tu. kidogo Messi. Ila gaucho vyote ulivyoorodhesha anavyo jaribu fatilia highlights zake uangalie ufundirate ya dribble ya messi unalinganisha na gaucho ?
nimkutajia vitu hapo juu je gaucho anawafikia hawa watu?
ukitoa control ya mpira
Mbona unalinganisha Era mbili tofauti?Mimi nafikiri mjadala wako ungeweka kati ya Messi na CR7 maana wapo katika era zinazofanana.Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
ukitaja vitu naomba unitajie hivo vitu hata viwili ili tujue ivo vitu ni muunganiko wa vitu gani ?Naamini ukiingia YouTube ukazitizama hizo video nilizokuwekea Heshima na Mtizamo wako kwa Ronaldinho havitakuwa vilevile.
Ronaldinho aheshimiwe kwa Quality, quality ya vitu alikuwa anafanya ni vya daraja la juu Mno.
upo sahihiSasa mbona vitu ulivyovitaji Cr7 ana viwili tu. kidogo Messi. Ila gaucho vyote ulivyoorodhesha anavyo jaribu fatilia highlights zake uangalie ufundi
sawaUlinganyo unaofanyika hapa ni batili kwa sababu Gaucho alikuwa na muda mchache sana kwenye pick kumlinganisha na Messi au Cr7...
Tukitaka tupate ulinganyo sahihi , mlinganishe Ronaldinho wa 2004-2006......
na Messi wa 2012.... Huu mwaka alipiga goli 90+
Ronaldo wa 2014....... goli 70+....
sifauwezo binafsi wa mchezaji azitegemei eraMbona unalinganisha Era mbili tofauti?Mimi nafikiri mjadala wako ungeweka kati ya Messi na CR7 maana wapo katika era zinazofanana.
Gaucho is something else huwezi kumuweka kapu moja na hawa vijana wa kisasa.
Wachezaji aliocheza nao Gaucho ni tofauti na aliochezanao Messi/CR7 esp; opponent team huoni tayari huo ni utofauti?sifauwezo binafsi wa mchezaji azitegemei era
mkuu mchezaji kama anajua kupiga pasi/kuanzisha mashambulizi anajua tu hata acheze mda gani
mda hauondoi uwezo binafsi
unajifunga mkuuMtoa mada kacheki mechi ya Brazil vs England world cup 2002....ndo utaona ronadihno alivyo wa vusha Brazil kwenda nusu fainali.
Ila maswali mengine!! Basi tu.Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?
uwezo anaoonesha akiwa amepata mpira peke ake uwanjani!Wachezaji aliocheza nao Gaucho ni tofauti na aliochezanao Messi/CR7 esp; opponent team huoni tayari huo ni utofauti?
Huo uwezo binafsi unaupima akiwa peke yake na mpira au akiwa na wenzake 10 uwanjani?
jibu kwa hojaIla maswali mengine!! Basi tu.
Shida yako umekuja na matokeo yako kichwani Mpumbavu mkubwa ww.. kama umeleta Mada hapa subiri watu wakupe fact sio unaleta afu unabishana nao au unataka kujaza server? Wakati Ronaldinho anacheza kulikuwa pia na mabeki bora kabisa tena wenye skills na nguvu kubwa mno.. mabeki kama Jaap Stam, Maldini, cannavaro, carlos, cafu, viungo wa msuli mwingi kama Gattuso, zidane, viera nk Zama hizi zina mabeki dhaifu lkn pia sheria ziko so soft ukilinganisha za nyakati zile ambapo nguvu ilikuwa moja ya sifa za uchezaji wa mpira.magoli?
vipi kuhusu
assist
dribble per game
chance created
shoot
pass accurate
dribble speed
solo goals
free kick
hahaahaha umesahau gaucho kacheza laliga?nayo cheza messiShida yako umekuja na matokeo yako kichwani Mpumbavu mkubwa ww.. kama umeleta Mada hapa subiri watu wakupe fact sio unaleta afu unabishana nao au unataka kujaza server? Wakati Ronaldinho anacheza kulikuwa pia na mabeki bora kabisa tena wenye skills na nguvu kubwa mno.. mabeki kama Jaap Stam, Maldini, cannavaro, carlos, cafu, viungo wa msuli mwingi kama Gattuso, zidane, viera nk Zama hizi zina mabeki dhaifu lkn pia sheria ziko so soft ukilinganisha za nyakati zile ambapo nguvu ilikuwa moja ya sifa za uchezaji wa mpira.
Katika ubora wake SI MESSI WALA RONALDO ANGEPATA NAFASI MBELE YA GAUCHO
kingine hizo fact zako sijazikataa ndo nazisubiriShida yako umekuja na matokeo yako kichwani Mpumbavu mkubwa ww.. kama umeleta Mada hapa subiri watu wakupe fact sio unaleta afu unabishana nao au unataka kujaza server? Wakati Ronaldinho anacheza kulikuwa pia na mabeki bora kabisa tena wenye skills na nguvu kubwa mno.. mabeki kama Jaap Stam, Maldini, cannavaro, carlos, cafu, viungo wa msuli mwingi kama Gattuso, zidane, viera nk Zama hizi zina mabeki dhaifu lkn pia sheria ziko so soft ukilinganisha za nyakati zile ambapo nguvu ilikuwa moja ya sifa za uchezaji wa mpira.
Katika ubora wake SI MESSI WALA RONALDO ANGEPATA NAFASI MBELE YA GAUCHO
Unamjua maldini au umesimuliwa?hahaahaha umesahau gaucho kacheza laliga?nayo cheza messi
sheria kama ipi?
maldini hakuawahi kucheza tackle sasa unamuogopaje beki kama huyu ?
unaweza mzuia messi bila tacke?
Gaucho sio sawa Messi au Ronaldo, hajawafikia hao. Ila Gaucho akicheza mpira anavutia zaidi kuangaliwa. Kila anapocheza kuna kitu kipya kizuri utakiona, na mpira wake haukua wa stress, hata wafungwe vipi yeye chenga atapiga tu.Mnaosema hakuna kama gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili?
Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje makombe
Mfano
- Speed
- Dribble speed
- Shoot power
- Free kick
- Solo goals
- Na vingine vitokanavyo na uwezo kipaji binafsi
Gaucho anamzidi Messi/Ronaldo nini kati ya hivyo?