Shida yako umekuja na matokeo yako kichwani Mpumbavu mkubwa ww.. kama umeleta Mada hapa subiri watu wakupe fact sio unaleta afu unabishana nao au unataka kujaza server? Wakati Ronaldinho anacheza kulikuwa pia na mabeki bora kabisa tena wenye skills na nguvu kubwa mno.. mabeki kama Jaap Stam, Maldini, cannavaro, carlos, cafu, viungo wa msuli mwingi kama Gattuso, zidane, viera nk Zama hizi zina mabeki dhaifu lkn pia sheria ziko so soft ukilinganisha za nyakati zile ambapo nguvu ilikuwa moja ya sifa za uchezaji wa mpira.
Katika ubora wake SI MESSI WALA RONALDO ANGEPATA NAFASI MBELE YA GAUCHO