Uwezo wa Ubongo na Jicho la mwanadamu

Uwezo wa Ubongo na Jicho la mwanadamu

daah maswali mengne bhana, neno lenyewe megapics maana yake kwa kiswahili halifahamiki bhna!
 
Naweza jaribu kukujibu kama ifuatavyo, neno pixel ni kifupi cha neno picture elements terminology hii inaonyesha uwezo au ubora wa picha(resolution) katika kamera, computer screen(monitor) au TV. Ubora huu unategemeana na jinsi kifaa hicho kilivyo tengenezwa kiwandani kimsingi uwezo wa jicho la mwanadamu huwezi kulipima kwa mfumo huo kwa sababu jicho lina uwezo mkubwa zaidi ya huu wa camera za kawaida.
Kuhusu uwezo wa ubongo wa mtu nao pia ni vigumu kuupima lakini storage capacity yake yaweza kuwa infinity lakini kumbuka binadamu ameumbwa kusahau hivyo anapo sahau anaupa ubongo nafasi ya kuhifadhi vitu vipya. Pia uwezo wa akili unatofautiana kutoka mtu mmoja kwenda mwingine.
 
inshort specification za ubongo huwez ht kuzijadili mana sio za kawaida asee

binadamu ndo kiumbe complex kuliko vyote

na Mungu muumba wa binadamu ndo the Great Architect
 
Mung
Eelewa tu haina mfano wake. Mungu ndo anayejua kila kitu. Halafu wakati mwingine acha kufikiria mawazo kama hayo, mambo mengine yaache kama yalivyo.
Mungu
ndo anayetoa uwezo wa kufikiri,Kama amekupa uwezo mdogo wa kufikiri basi tulia akili kubwa zije zijibu
 
daaahh Jimena umenichekesha sana et wengine hatujaumbwa ila tumezaliwa.daaah ha ha
 
576 megapixel... hakuna kama jicho la binadamu...
100 Terabytes of RAM...
2500 Terabytes Of HDD...
500 Petabytes of CPU...

mmh sio wote mkuu kuna wengine wana ram 2gb na hdd 150
 
Duh! uumbaji wa MUNGU unafananishwa na iphone 6?nmecheka mpaka basi
 
Back
Top Bottom