Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MunguEelewa tu haina mfano wake. Mungu ndo anayejua kila kitu. Halafu wakati mwingine acha kufikiria mawazo kama hayo, mambo mengine yaache kama yalivyo.
Kwani we jicho lako halizoom??Lingekuwa na megapixel ungeweza hata kuzoom vitu vya mbali.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12]Kwani we jicho lako halizoom??
576 megapixel... hakuna kama jicho la binadamu...
100 Terabytes of RAM...
2500 Terabytes Of HDD...
500 Petabytes of CPU...
Acha kumkufuru mungu..mmh sio wote mkuu kuna wengine wana ram 2gb na hdd 150
Google ni mimi na weweLakini mkuu katika ulimwengu huu wa utandawazi......mbona kuna vyanzo vingi vya taarifa.....naamini ungeingia google ungekata kiu yako....