hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
- Thread starter
- #21
wewe unadhani kuwa na elimu mpaka uwe profesa pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha hebu.
Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!
Jamaa ana kipaji cha kuongea licha ya elimu yake ndogo, ila pia ni bange mtu...kwake ni bora akose msosi lakini sio jani!
Acheni umbea mbona kuna mawaziri wa DHAIFU wanakula jani hamuwasemi!!!
Mm sijamponda, hebu soma vizuri post yangu dogo...jani ni dawa🙄
hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe
Uswazi yuko vizuri.REDIONI HAKUNA KITU anatema pumba tu.
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
![]()
:bange::A S confused:Weka picha hebu.
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
![]()