Uwezo wa Zembwela

Uwezo wa Zembwela

Attachments

  • 1428305609004.jpg
    1428305609004.jpg
    8.6 KB · Views: 2,071
Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!

hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe
 
ndo wewe nini mbona tone yako kama yeye akiwa anaropoka nyuma ya MIC za IPP.pole sana jaribu kuwa na busara
 
Jamaa ana kipaji cha kuongea licha ya elimu yake ndogo, ila pia ni bange mtu...kwake ni bora akose msosi lakini sio jani!

Acheni umbea mbona kuna mawaziri wa DHAIFU wanakula jani hamuwasemi!!!
 
Uswazi yuko vizuri.REDIONI HAKUNA KITU anatema pumba tu.
 
hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe

Wewe mjinga nn? Rudi Fb huko,huku hatutukanagi mjinga wewe! Na kama mim ni kenge basi wewe ni mama kenge
 
Uswazi yuko vizuri.REDIONI HAKUNA KITU anatema pumba tu.

Anaongea kishabiki sana. Hata kama ni jambo la msingi.
Kwa kifupi uwasilishaji wake ni wa kishambenga na vingine hata hajui vizuri anaropoka tu.
 
namuelewa sana kwenye kipindi chake cha uswazi huwa naburudika na kuelimika pia
 
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa ndugu yetu Zembwela hajaenda shule sana ni ya kawaida tu, lakini kwa elim yake ndogo anajitahidi sana kuchambua mambo magumu ambayo graduate wengi wangeishia kusema aaaah eeeeh unajua Berlin conference etc.
 
Back
Top Bottom