Uwezo wa Zembwela

Uwezo wa Zembwela

hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe

Jamaa anakemea kote kote habagui
 
Zembwela yuko makini..siwezi kumsemea Elimu yake..ila anachambua habari vizuri kuliko watangazaji wengi tu wenye BA zao....Ukweli ni kuwa Super Mix kwa sasa kina wasikilizaji wengi tu...mfano panda daladala utaona jinsi ambavyo nying from saa 09am to 01pm wanasikiliza EA RADIO
 
kitabu kisipoeleweka muandishi huenda akawa na mapungufu especially CONTENT&style ya kudeliver message
na lisauti lake la kukwaruza kutokana na misigara na mibangi mi ndo huwa simsikilizi kabisa. bora angebaki kwenye mizengwe kipindi akiwa na marehemu max.
 
uwezo wa jamaa ni mdogo kulinganisha na vitu anavyo jadli kwenye EARADIO.mbona millard hanaelim kubwa lakini ni OBJECTVE
 
Zembwela ana kipaji yule.. kuna gradute wengi wakipewa mic wanbwbwaja tu..
Wengi mnafahamu mambo kwa sababu mmepitpita school...
Penye ukweli tuseme... zembwela anakipaji
 
ha ha ha ukiwa kama zembwela lazima uwe na heshima kwa wanaokuweka mjini maana huna msingi wa maaan wa kukulinda kama elimu :eyebrows:
 
Mbona tuna wachezaji taifa stars na hawajapitia vyuo, huwezi ukasomea kila kitu, acha waliojaliwa vipaji watambe
 
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.

zembwela.jpg


Weka picha zake bomba kwenye JAY millions acha roho mbaya
 
Ana uwezo mkubwa, kwa jinsi nilivomsikiliza mie
 
Jamaa huwa ana uma na kupuliza,haeleweki mara maccm mara ukawa.Hawa ni watu hatari sn.Ila nyimbo za kiharakati anaziweka sn.
Ushauri kwake,Zembwela kuna zama ziliitwa "Renaissance period 14th-17th ".Zama hizi zilikuwa za kuhoji na kudadisi kila kitu,zilikuwa zama za kila mtu kusema baya pasipo kuogopa na kuhofu,ndo kipindi hicho tumekifikia sie Watanzania,Hakuna haja ya kuogopa.Ukweli ni kwamba tumefika pabaya kimaisha na lazima mfumo OVU wa ccm uondolewe.Hakuna cha kusema eti waliopo hatuwataki na tunaowataka hatuwaamini NO.Suala ni KUUTOA MFUMO MZIMA BASI.
 
zembela ndiyo nani au ndiyo nini eeeeh ni bia mpya au ni aina mpya ya chakula?????
 
Mimi namuona yuko vizuri na anaimudu kazi yake.Unajua hata vipindi alivyopewa anawakilisha tabaka la wanyonge huku akielimisha na kuchekesha pia kama ilivyo fani yake.Ila nadhani muajiri wake anaweza kumpeleka kozi fupi ya utangazaji ili aweze kuyajua maadili muhimu ya utangazaji vinginevyo jamaa yuko fiti, bravoo Zembwela.
 
hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe

INAONEKANA WANAJF WENGI HAWAMFAHAMU ZEMBWELA VIZURI
INFACT JAMAA MSIMAMO WAKE YUPO NEUTRAL KTK USHABIKI WA VYAMA - Hana Chama anachokipendelea.
PILI JAMAA NI MOJAWAPO YA WALE WALIOKUWA GRANTED VIPAJI VYA KUCHAMBUA MAMBO VYEMA NA KWA MIFANO KUZIDI HATA GRADUATE WENGI HATA WA HAPA JF INGAWAJE HAJAENDA SHULE SANA.
 
Back
Top Bottom