Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh, kwa lugha rahisi mlitumia ratio ya 1:10 kazi kweli kweli.Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi za saidia fundi tulikuwa tunaweka ndoo ndogo (zile za lita 10) 30 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement
Mtu wa kukupa jibu sahihi ni injinia au architect aliye sanifu jengo lako. Sasa nikuulize je mmefwata huyo injinia akasema hajui ratio aliyo pendekeza mtumie kwenye plasta?Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie..
Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
Mmmmh ww hapo si itakuwa cement kali sana mzee hyo ratio.1.nje: kama mazingira magumu mfano unyevunyevu tumia 1:3 ila kawaida kabisa ni 1:4
2: ndani tumia 1:5 kwa mchanga mnene au 1:6 kama mchanga ni laini
hizo ratio ni ujazo (volume) na sio uzito
ww unadhan ipi ni ratio sahihi ili tumshauri muuliza swali hapo juu?Mmmmh ww hapo si itakuwa cement kali sana mzee hyo ratio.
Kama wewe sio injinia unajb nn sasa,,waache mainjinia wajibu.Mtu wa kukupa jibu sahihi ni injinia au architect aliye sanifu jengo lako. Sasa nikuulize je mmefwata huyo injinia akasema hajui ratio aliyo pendekeza mtumie kwenye plasta?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
nimeona hata raman yangu mchoraj kaweka 1:41.nje: kama mazingira magumu mfano unyevunyevu tumia 1:3 ila kawaida kabisa ni 1:4
2: ndani tumia 1:5 kwa mchanga mnene au 1:6 kama mchanga ni laini
hizo ratio ni ujazo (volume) na sio uzito
Kwa kuta za nje tumia ratio ya 1:4 na kwa kuta za ndani tumia 1:5Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie..
Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..