Uwiano ya bajeti 2024 kwa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Tanzania Bara siyo sawa. Zanzibar imependelewa zaidi mara 12. Ona hapa

Huoni unachoandika hapa? πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Bajeti ya Zanzibar inahusikaje na huku Bara?

Ndio manaa nasema nyie ni wajinga sana ,Huwa mnatafuta kusukumia ujinga wenu Kwa wasiohisika.
Kumbe hujui hata mgawanyo wa mikopo au mapato ya serikali yetu ya muungano ? Unawahi kutukana kwa usichokijua,rudi shule Mkuu.
 
Maana yake ni kwamba mZanzibar ana thamani kubwa kuliko mTanganyika. Hakuna maana nyingine yoyote zaidi ya hiyo.
 
Kumbe hujui hata mgawanyo wa mikopo au mapato ya serikali yetu ya muungano ? Unawahi kutukana kwa usichokijua,rudi shule Mkuu.
Kwa nini nisijue? Kumbe unajua ni mgawanyo iliyoko kisheria Kwa mujibu wa makubaliano ya Muungano,Sasa unalia lia nini labda?
 
Hii zanzibar yenye watu laki mboma siijui!!
 
Hiyo pesa haitoshi kulingana na umuhimu wa visiwani. Waongezewe bajeti, Zanzibar kwanza.
 
Bajeti ya Tanzania inahusu pia Zanzibar kwenye shughuri za muungano, hata hivyo hivi sasa zimevurugwa ni ngumu kuzitofautisha. Kutokana na bajeti kuhusisha Zanzibar kwenye shughuri za muungano hivyo idadi ya watu siyo 60+m tu ni pamoja na idadi ya Zanzibar.
 
Sina uhakika sana Kwa sababu Kuna clear distinction na shughuli za Muungano zinajulikana na.pia kanuni ya mgawanyo inajulikana so Bajeti ya Muungano ni ya Muungano Kwa mipaka yote ya Nchi na upande wa Zanzibar it's cover shughuli za Muungano Kwa kanuni ya mgawanyo hii hapa(9%) πŸ‘‡
 
Kwanza Zanzibar ni nchi inajipangia mambo yake, pili uwage mkweli, Zanzibar ina watu km milioni 2 siyo laki 5.
 
Ila kusema ukweli katika dunia hii sijui kama kuna watu wengine mazuzu kuliko sisi Watanganyika!
Yaani tunakubali kabisa kutawaliwa na mtu ambaye sio raia wa nchi yetu! Na mwakani kuna Watanganyika kabisa watampigia kura! Kwa kweli binafsi siwezi kumpigia kura.
 
Sio raia wa Nchi yetu kivipi ??
Kwani hamuutaki Muungano Adhimu wa Tanganyika na Zanzibar ???! πŸ™„πŸ™„πŸ˜³
 
Sio raia wa Nchi yetu kivipi ??
Kwani hamuutaki Muungano Adhimu wa Tanganyika na Zanzibar ???! πŸ™„πŸ™„πŸ˜³
Muungano wa kijinga tu,Muungano gani chao ni chao wao tu ila chetu ni chetu wote.
Leo hii ukienda tu Zanzibar siyo kuishi ila kutembea tu jamaa wanakuona kama mavi wanakunyanyapaa waziwazi utaonekana mwizi wewe, mtu mwenye tabia mbaya,mshenzi yaani sifa mbaya zote utapewa wewe ila wao wanakuja huku wakati wowote wanajimwaga tu halafu na sisi wenyewe tulivyo wajinga tunawashobokea sana eti tunajifanya sisi waungwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…