Uwiano ya bajeti 2024 kwa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Tanzania Bara siyo sawa. Zanzibar imependelewa zaidi mara 12. Ona hapa

Mbaya zaidi pesa za bajiti ya Zanzibar zinatoka Tanganyika, hawalipii umeme, wanachukua ajira zetu nk. Tuamke watanganyika
 
Sijawahi kuwa na shobo nao na wala siwapendi labda dada zao akijichanganya na nna shukuru Mungu kipande hii hamna Hao jamaa kabisa na hawawezi kuishi hii zone
 
Maendeleo ya nchi yako unapanga kulingana na pato lako si kwa idadi ya watu
 
Una uhakika Zanzibar watu ni 0.5 milioni au unasherehesha jukwaa tu?
 
Nyie mnalipa kodi gani? Mbunge Kessy aliwaambia kweli kodi zenu zipo chini halafu mnataka mlete bidhaa bara na zisitozwe ushuru

Mfano. Kuingiza Konteina lilikuwa milion 3 la vifaa vya pikipiki zenji wakati bara milion 40,

Sasa hapo wapi kwa wapi?
 
Una uhakika Zanzibar watu ni 0.5 milioni au unasherehesha jukwaa tu?
Unaweza kusahihisha ukitumia takwimu zako. Hata hivyo kuna post imejaribu kurekebisha still yet point yangu ikawa valid.
 
Lissu akizungumza mnamuita mchochoezi
 
Mbaya zaidi pesa za bajiti ya Zanzibar zinatoka Tanganyika, hawalipii umeme, wanachukua ajira zetu nk. Tuamke watanganyika

Kumbe wewe ndiye unayetulipia Luku, ? Mbona sisi wengine umetusahau kutulipia??
 
Kwa hiyo 3 folds out of 12 ni 4. Whatever the case, my point still hold water
Hapana, point yako haina mashiko.
Ukikosea hesabu kwa kiasi hicho, credibility ya chochote unachoandika kinakosa uhalali wa kuaminika. Hivyo unaharibu hoja yako nzima na michango yako mbeleni.
As of June 2023, the population of Zanzibar was 1,889,773, which is a five-fold increase from 1967, when the population was 354,815. Projections for 2025 estimate the population will be close to 1.9 million
Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1

Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1
Ningekushauri urekebishe andiko lako katika namba kabla ya kuendelea kujadili hoja. Na uwaombe radhi wasomaji wote.
 
Ndugu mpendwa sana sana atafanyaje hayo. ???

Mtakuwa munawasingizia tu 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…