Chuki bnafsi tu,anatafuta ugomvi na waitaliano huyoYaani hawa wote ni kenge tu,unajua nini hapo anamlenga Raisi wa FIFA wa sasa ,maana Gianni Infantino ndo alikuwa katibu wa UEFA anaehusika na kuchezesha hizo draw
Hehehe...sijakuona siku nyingi, kwa hiyo Arsenal anapangiwa kibonde Barcelona au Barcelona anapangiwa kibonde Arsenal?!!!Masikini Yanga na Arsenal zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli Dunia haiko fair,hawana huruma jamani?
Kila mwaka tulie sisi tu?
Sitokaa niwe na imani tena.
Nilihisi kuna namna ila uhakika ndio nilikuwa sina mkuu.Hamkujua hili siku zote?
Nipo mkuu,wewe ndio sikuoni kama sukari.Hehehe...sijakuona siku nyingi, kwa hiyo Arsenal anapangiwa kibonde Barcelona au Barcelona anapangiwa kibonde Arsenal?!!!
Hapo Sasa....Aongelee na mahaba yake kwa Messi alivyokuwa anampa tuzo ambazo hakustaili...
Hata Ronaldo hakustahili.....tuzo moja ya Robben nyingine iniesta...Hapo Sasa....
Tena kama vipi anyang'anywe tuzo zote apewe mstahiki Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]
Oooooh nishaikumbuka ile misimu,tena ushindani ulikuwa mkubwa sana tofauti na nyingine ambazo huwa ushindani ni baina ya Messi na Ronaldo.Hata Ronaldo hakustahili.....tuzo moja ya Robben nyingine iniesta...
Hako kazee kachawi