Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

Yaani hawa wote ni kenge tu,unajua nini hapo anamlenga Raisi wa FIFA wa sasa ,maana Gianni Infantino ndo alikuwa katibu wa UEFA anaehusika na kuchezesha hizo draw
Chuki bnafsi tu,anatafuta ugomvi na waitaliano huyo
 
Na anathibitisha jinsi ambavyo hakuwa na credibility ya kuongoza shirikisho la soka la dunia FIFA.Alijua kinachofanyika na hakufanya lolote kulinda heshima ya mpira.

Kwahiyo ipo sahihi sana Blatter leo sio raisi wa FIFA kutokana na kutokuwa muadilifu kwenye nafasi yake.Amethibitisha kuwa ni kiongozi asiyefaa kabisa
 
Ooooh Maskini Yanga weeeee

Nilikuwa najiuliza, hivi kwanini kila ikifika round ya pili kwenye mtoano lazima apangiwe Mwarabu? Kumbe bhana kina Hayatoh wamecopy kwa kina Blatter!!!!

Nyambafu zao wasengerema hawa

BACK TANGANYIKA
 
Hapo sijaelewa kitu jambo moja.je wanawezaje kupanga dice za team zaidi ya mbili ili zikutane kama ishu ni ubaridi na ujoto la dices.mfano unataka team zako 2 zikutane na vibonde wengne wawili lakin specifically team fulan na fulan.hapo atueleze wanafanya je?make dices za tema zote zinakuwa kwenye kidude kimoja.
 
Daah, hapo na sisi wana Arsenal tumepata sababu ..!!

Kumbe tungeshabeba hili kombe siku nyingi sana..!!

Wam'bane aseme yote, nadhan kuna mambo huko nyuma ya pazia ...!!
 
Masikini Yanga na Arsenal zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli Dunia haiko fair,hawana huruma jamani?
Kila mwaka tulie sisi tu?
Sitokaa niwe na imani tena.
 
Masikini Yanga na Arsenal zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli Dunia haiko fair,hawana huruma jamani?
Kila mwaka tulie sisi tu?
Sitokaa niwe na imani tena.
Hehehe...sijakuona siku nyingi, kwa hiyo Arsenal anapangiwa kibonde Barcelona au Barcelona anapangiwa kibonde Arsenal?!!!
 
Daaah, kumbe michezo yao ni moja moto moja baridi, ndo maana Madrid kila siku anashuka kitonga
 
Hehehe...sijakuona siku nyingi, kwa hiyo Arsenal anapangiwa kibonde Barcelona au Barcelona anapangiwa kibonde Arsenal?!!!
Nipo mkuu,wewe ndio sikuoni kama sukari.
Imekuwa too much bwana,halafu zote zinaanzia home Emarates kisha Nou Camp.
Yani hakuna cha Nou Camp kisha Emarates wala nini.
Dah,imeniuma sana.
 
Aongelee na mahaba yake kwa Messi alivyokuwa anampa tuzo ambazo hakustaili...
 
Aongelee na mahaba yake kwa Messi alivyokuwa anampa tuzo ambazo hakustaili...
Hapo Sasa....
Tena kama vipi anyang'anywe tuzo zote apewe mstahiki Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Ronaldo hakustahili.....tuzo moja ya Robben nyingine iniesta...

Hako kazee kachawi
Oooooh nishaikumbuka ile misimu,tena ushindani ulikuwa mkubwa sana tofauti na nyingine ambazo huwa ushindani ni baina ya Messi na Ronaldo.
 
Back
Top Bottom