Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 549
- 185
Wapi JECHA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano mwingine mzuri ni real madrid, jamaa mara nyingi sana huwa wanapata mteteremko, na kabla hata ya kauli ya blatter nliwahi kufkiria kua lazima kuna conspiracy flani hivi, sio bure. Ni wazi uefa wapo kimapato zaidi, na ni wazi kwa wakati huu timu kama barca, bayern na real madrid ndo zinauwezo wa kuwaingizia mapato makubwa zikifika mbali kwenye michuanoNdo maana huwa nashangaa, kwa nini kila mwaka Ni Barca Vs Arsenal round 16?! Ni lazima Barca atapita tu, na hela watapiga sababu ya fan base ya timu hizi.
Pia, kwa nini Man U huwa inapangwa makundi mchekea?!
suala la timu ya dunia,ambapo timu yote huwa ni la liga tu lina mushkeli piaKila mwaka chelsea VS PSG, Mara kuna miaka ilikiwa Chelsea Vs BARCA, Kuna miaka ilikuwa Madrid VS juventus
Kumbe ni full kupanga matokeo.
..You want to be the best,you have to beat the best....Masikini Yanga na Arsenal zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli Dunia haiko fair,hawana huruma jamani?
Kila mwaka tulie sisi tu?
Sitokaa niwe na imani tena.
Hata Ronaldo hakustahili.....tuzo moja ya Robben nyingine iniesta...
Hako kazee kachawi
arsenal yangu pole sana ndio maana hatuna uefa mshindi anapngwa kumbe
maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!!
Wakuu mnanifurahisha sanaNdo maana huwa nashangaa, kwa nini kila mwaka Ni Barca Vs Arsenal round 16?! Ni lazima Barca atapita tu, na hela watapiga sababu ya fan base ya timu hizi.
Pia, kwa nini Man U huwa inapangwa makundi mchekea?!
Ndio mana nilishangaa kuanzia makundi had nusu Madrid ni mteremko tu
Now nimepata jibu
Pumbaaaaaf saaaaana
Ha ha ha! Acha zako.kuna kipindi tulikuwa tunalalamika mbona man u wanapendelewa sana sasa ukweli unaanza kujitokeza
ungejua hakuna hata timu moja ya uk nayofatilia usingeandika hiyo post timu za uk zinaongoza kubebwa hazina kituHa ha ha! Acha zako.
Ili upendelewe lazima na wewe uoneshe NIA.
Sasa, kama Wenger wenu hakai mkao wa kupendelewa mnataka nini sasa?! Mtapewa Barca au Baryen kila mwaka...!
Hapo Sasa....
Tena kama vipi anyang'anywe tuzo zote apewe mstahiki Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]
hahhahaha,alikuwa wapi kuyasema hayo pindi alipokuwa Raisi wa FIFA?na yeye afichue madudu aliyowahi kuyafanya.
ukitaka kuwa bingwa huna budi kuzipiga timu kali sasa we unataka kuwa bingwa wa uefa kwa kupangiwa droo kucheza na yanga?arsenal yangu pole sana ndio maana hatuna uefa mshindi anapngwa kumbe