Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

Ndo maana huwa nashangaa, kwa nini kila mwaka Ni Barca Vs Arsenal round 16?! Ni lazima Barca atapita tu, na hela watapiga sababu ya fan base ya timu hizi.

Pia, kwa nini Man U huwa inapangwa makundi mchekea?!
Mfano mwingine mzuri ni real madrid, jamaa mara nyingi sana huwa wanapata mteteremko, na kabla hata ya kauli ya blatter nliwahi kufkiria kua lazima kuna conspiracy flani hivi, sio bure. Ni wazi uefa wapo kimapato zaidi, na ni wazi kwa wakati huu timu kama barca, bayern na real madrid ndo zinauwezo wa kuwaingizia mapato makubwa zikifika mbali kwenye michuano
 
Kila mwaka chelsea VS PSG, Mara kuna miaka ilikiwa Chelsea Vs BARCA, Kuna miaka ilikuwa Madrid VS juventus

Kumbe ni full kupanga matokeo.
 
Kila mwaka chelsea VS PSG, Mara kuna miaka ilikiwa Chelsea Vs BARCA, Kuna miaka ilikuwa Madrid VS juventus

Kumbe ni full kupanga matokeo.
suala la timu ya dunia,ambapo timu yote huwa ni la liga tu lina mushkeli pia
 
Masikini Yanga na Arsenal zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli Dunia haiko fair,hawana huruma jamani?
Kila mwaka tulie sisi tu?
Sitokaa niwe na imani tena.
..You want to be the best,you have to beat the best....
kwa nini utake vinono kwa njia ya mkato?..
 
Top secret huwa inatakiwa idumu miaka 50 ikipita pale siyo siri tena.
Mfano Soni Liston alivyopigana na Cassius Clay ambaye baadae alikuja kujulikana kama Mohamed Ali mwaka 1964 Liston alijiangusha tu round ya kwanza hakupigwa as such ulikuwa mpango Fulani wa waandaji Liston ajiangushe na pambano liishe ili malaengo yatimie, imekuja kujulikana juzi tu baada ya miaka 50.
Mfano mwingine na CIA walivyokuja kutoa ushuhuda kwamba ni wao ndio walioratibu mauwaji ya Patrick Lumumba wa KONGO miaka hiyo hiyo, nayo kweli siri hii imetoka baada ya miaka 50
Sasa mbona Sepp Blatter kaiwahisha sana siri hii ya upangaji wa fix wa team za kukutana nazo kwenye tukio la draw? , si inaweza ikawa ni kosa la jinai?

Tungoje wajuzi waje watujuze.
 
Solution ndogo sana, wapange kama kombe la dunia

1 winner group A vs 2 winner group B etc

Halafu kila group waweke mkanganyika wa timu kutoka kila nchi

Mfano kila group linakua na mshindi wa ligi mmoja tu. Halafu kila group litakua na timu kutoka nchi tofauti kulingana na position waliopata kwenye league
 
arsenal yangu pole sana ndio maana hatuna uefa mshindi anapngwa kumbe

maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!!

Ndo maana huwa nashangaa, kwa nini kila mwaka Ni Barca Vs Arsenal round 16?! Ni lazima Barca atapita tu, na hela watapiga sababu ya fan base ya timu hizi.

Pia, kwa nini Man U huwa inapangwa makundi mchekea?!
Wakuu mnanifurahisha sana

Hivi kwenye Barclays Premier League - hii team yetu Arsenal hujazwa kwenye fridge igande kwanza?
 
kuna kipindi tulikuwa tunalalamika mbona man u wanapendelewa sana sasa ukweli unaanza kujitokeza
 
Dah,kumbe uhuni upo dunia nzima wajameni,duh,every year CHELSEA vs PSG,ARSENAL vs BARCA hata mimi nilikuwa najiuliza sana hii kitu kumbe kuna mazingaombwe tupu.
 
kuna kipindi tulikuwa tunalalamika mbona man u wanapendelewa sana sasa ukweli unaanza kujitokeza
Ha ha ha! Acha zako.

Ili upendelewe lazima na wewe uoneshe NIA.

Sasa, kama Wenger wenu hakai mkao wa kupendelewa mnataka nini sasa?! Mtapewa Barca au Baryen kila mwaka...!
 
Ha ha ha! Acha zako.

Ili upendelewe lazima na wewe uoneshe NIA.

Sasa, kama Wenger wenu hakai mkao wa kupendelewa mnataka nini sasa?! Mtapewa Barca au Baryen kila mwaka...!
ungejua hakuna hata timu moja ya uk nayofatilia usingeandika hiyo post timu za uk zinaongoza kubebwa hazina kitu
 
Hapo Sasa....
Tena kama vipi anyang'anywe tuzo zote apewe mstahiki Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]

....inaonekana hata wewe ungekuwa UEFA ungekuwa unafanya hako ka mchezo😉😉😉
 
hahhahaha,alikuwa wapi kuyasema hayo pindi alipokuwa Raisi wa FIFA?na yeye afichue madudu aliyowahi kuyafanya.

....uozo lazima usemwe, haijalishi umesemwa wapi, saa ngapi, wala na nani!, usemwe!
 
Timu zikishaqualify kwenye stage, zinachukuliwa zote sawa hakuna kusema ulitaka ukutane na nani.
 
Back
Top Bottom