Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

Wataalamu wa masuala ya uchumi wa uefa wanasema wanasema kama ikitokea elclasico ikawa final ya uefa basi watapata pesa ambayo hawajawahi kuingiza itakuwa ni pesa nyingi mno ndo maana Real Madrid na Barcelona wakifika semi final huwa wanatenganishwa wasikutane semi ili wakutane final lakini huwa inabuma maana mmoja wapo lazima aboronge just imagine katika mara sita ambazo timu hizi mbili zimefikia semi wamekutana mara moja tu zingine zote wanatenganishwa blatter is right
 
....uozo lazima usemwe, haijalishi umesemwa wapi, saa ngapi, wala na nani!, usemwe!
wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022?
 
Ndio mana nilishangaa kuanzia makundi had nusu Madrid ni mteremko tu
Now nimepata jibu

Pumbaaaaaf saaaaana
Gbaaam... kula tano mkuu. Hili mimi nilishashtuka zamani sana na kuna wapuuzi tulibishana nao hatua ya mwisho wakaniblock, haiwezakani kwa zaidi ya misimu 5 mfulilizo real madrid big challenge kwake inaanzia nusu fainali, wakati huo kuna vilabu vingine kufika robo fainali tu tayari ameshakutana na kigogo.. angalia hata arsenal au timu zote za uingereza kwa ujumla wakifika hatua ya 16 bora tu PSG au Barcelona hawa hapo mlangoni... klmy Uefa na cabinet yake yote.
Yaani wapuuzi kila msimu huwa wanafanya kila liwezekanavyo tuangalie El classico fainali wakitudanganya na tugoroli twao.
 
ahah kila mwaka arsenal inapelekwa kwa bayern ama barcelona hahaha na cheksena vs psg huku madrid anapewa vilaza
 

Bravoo bro.... you were in my mind.

waliwahi kuzikutanisha mara moja tu ndani ya miaka 7 napenyewe waligundua kwamba 2-legged clash kwa hao watu hawatapiga pesa sana, kwa sababu game ya kwanza inaweza ikamaliza kila kitu kwa mmoja wapo kufungwa goli nyingi. Hivyo basi tangia hapo wanalazimisha wakutane fainali wakitumia icho kiini macho cha droo
 
hahhahaha,alikuwa wapi kuyasema hayo pindi alipokuwa Raisi wa FIFA?na yeye afichue madudu aliyowahi kuyafanya.
Sasa kwa hiyo wewe unaona aliyoyasema Blatter ni ya huongo au?

Na kama uni huongo unaweza kutudhibitishia?
 
Hawa wazungu wanachezea watu akili sana, hata Osama naimani yupo Florida kweli.
 
Yani mkuu nimeamini ulaghai uko kila sehemu Na ndio mana hata mipira ya sasa ya Live ni michache mechi nyingi tunazoangalia ni marudio
 
Sasa kwa hiyo wewe unaona aliyoyasema Blatter ni ya huongo au?

Na kama uni huongo unaweza kutudhibitishia?
wewe vipi,aliyoyasema ni kweli kabisa,ila yeyealichukuwa hatua gani kukomesha hiyo fraud?kumbuka huyo alikuwa RAISI WA FIFA,
 
wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022?

....nimekula maharage ya lumumba, kama uozo upo lazima usemwe usituletee historia hapa za Infantino wala nn!, na wewe sema hayo ya Qatar basi...!!
 
wewe vipi,aliyoyasema ni kweli kabisa,ila yeyealichukuwa hatua gani kukomesha hiyo fraud?kumbuka huyo alikuwa RAISI WA FIFA,
Basiii kama aliyoyasema ni kweli hakuna mjadala kati yangu na wewe. Mimi nilikuquote mwanzoni kwa sababu kwenye comment yako ulionekana kma unabisha hivi.

Kuhusu swala la waliohusika na hiyo fraud nadhani kuna discplinary committee ya uefa itafanya kazi yake na wala hiyo sio/haikuwa kazi ya Rais wa fifa.

Alafu pia nakupongeza kwa kuwa sport lady, huwa naona fahari sana kukutana na watu jinsia yako wanaofuatilia mpira.
You damn smart just like that chick in yo avatar.

...hurray hurrah
 
Mmekalia majungu na kulialia itakuwa mmeingiziwa mkuyati..hata iwe vipi bingwa anapatikana kwa ushindi sio kwa maneno ya khanga kama haya.
 
Tatizo wanaongea wakiwa nje ya system! Let us call it hypocrisy.
 
Wataiga hapa nyumbani wale wa mkabala na TBL kituo cha daladala Karume.
 
Hawa wazungu wanachezea watu akili sana, hata Osama naimani yupo Florida kweli.
Osama!! yupo Florid kweli ndevu zake ni za bandia..anyway huyu sepp nae amekosea timing kwani wakati huo uefa ilikuwa chini yake,droo anachezesha infantino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…