Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hahaNdio mana nilishangaa kuanzia makundi had nusu Madrid ni mteremko tu
Now nimepata jibu
Pumbaaaaaf saaaaana
wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022?....uozo lazima usemwe, haijalishi umesemwa wapi, saa ngapi, wala na nani!, usemwe!
Gbaaam... kula tano mkuu. Hili mimi nilishashtuka zamani sana na kuna wapuuzi tulibishana nao hatua ya mwisho wakaniblock, haiwezakani kwa zaidi ya misimu 5 mfulilizo real madrid big challenge kwake inaanzia nusu fainali, wakati huo kuna vilabu vingine kufika robo fainali tu tayari ameshakutana na kigogo.. angalia hata arsenal au timu zote za uingereza kwa ujumla wakifika hatua ya 16 bora tu PSG au Barcelona hawa hapo mlangoni... klmy Uefa na cabinet yake yote.Ndio mana nilishangaa kuanzia makundi had nusu Madrid ni mteremko tu
Now nimepata jibu
Pumbaaaaaf saaaaana
Wataalamu wa masuala ya uchumi wa uefa wanasema wanasema kama ikitokea elclasico ikawa final ya uefa basi watapata pesa ambayo hawajawahi kuingiza itakuwa ni pesa nyingi mno ndo maana Real Madrid na Barcelona wakifika semi final huwa wanatenganishwa wasikutane semi ili wakutane final lakini huwa inabuma maana mmoja wapo lazima aboronge just imagine katika mara sita ambazo timu hizi mbili zimefikia semi wamekutana mara moja tu zingine zote wanatenganishwa blatter is right
Sasa kwa hiyo wewe unaona aliyoyasema Blatter ni ya huongo au?hahhahaha,alikuwa wapi kuyasema hayo pindi alipokuwa Raisi wa FIFA?na yeye afichue madudu aliyowahi kuyafanya.
Yani mkuu nimeamini ulaghai uko kila sehemu Na ndio mana hata mipira ya sasa ya Live ni michache mechi nyingi tunazoangalia ni marudioGbaaam... kula tano mkuu. Hili mimi nilishashtuka zamani sana na kuna wapuuzi tulibishana nao hatua ya mwisho wakaniblock, haiwezakani kwa zaidi ya misimu 5 mfulilizo real madrid big challenge kwake inaanzia nusu fainali, wakati huo kuna vilabu vingine kufika robo fainali tu tayari ameshakutana na kigogo.. angalia hata arsenal au timu zote za uingereza kwa ujumla wakifika hatua ya 16 bora tu PSG au Barcelona hawa hapo mlangoni... klmy Uefa na cabinet yake yote.
Yaani wapuuzi kila msimu huwa wanafanya kila liwezekanavyo tuangalie El classico fainali wakitudanganya na tugoroli twao.
wewe vipi,aliyoyasema ni kweli kabisa,ila yeyealichukuwa hatua gani kukomesha hiyo fraud?kumbuka huyo alikuwa RAISI WA FIFA,Sasa kwa hiyo wewe unaona aliyoyasema Blatter ni ya huongo au?
Na kama uni huongo unaweza kutudhibitishia?
wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022?
Basiii kama aliyoyasema ni kweli hakuna mjadala kati yangu na wewe. Mimi nilikuquote mwanzoni kwa sababu kwenye comment yako ulionekana kma unabisha hivi.wewe vipi,aliyoyasema ni kweli kabisa,ila yeyealichukuwa hatua gani kukomesha hiyo fraud?kumbuka huyo alikuwa RAISI WA FIFA,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniuaaa ah ahmaskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!!
Osama!! yupo Florid kweli ndevu zake ni za bandia..anyway huyu sepp nae amekosea timing kwani wakati huo uefa ilikuwa chini yake,droo anachezesha infantino.Hawa wazungu wanachezea watu akili sana, hata Osama naimani yupo Florida kweli.