platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,424 Reaction score 11,320 Jun 19, 2016 #81 Student Teacher said: maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!! Click to expand... Acha matusi basi[emoji1] [emoji1]
Student Teacher said: maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!! Click to expand... Acha matusi basi[emoji1] [emoji1]
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Jun 19, 2016 #82 Victoire said: wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022? Click to expand... Atakemeaje wakati mambo hayo hata FIFA yalikuwepo?
Victoire said: wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022? Click to expand... Atakemeaje wakati mambo hayo hata FIFA yalikuwepo?
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Jun 19, 2016 #83 Mwanzoni mwa miaka ya 2000 mara nyingi ilikuwa man utd vs real madrid mpaka Ferguson akalalamika
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,246 Reaction score 13,722 Jun 20, 2016 #84 Student Teacher said: maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!! Click to expand... Yaani nimecheka weeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka mbavu zinaniuma sana....duh, andiko lako zuri sana...
Student Teacher said: maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!! Click to expand... Yaani nimecheka weeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka mbavu zinaniuma sana....duh, andiko lako zuri sana...