Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Mahakama zinaogopwa sana hata kwa watu wenye haki , niliwahi kufungua kesi Mahakama ya kisutu , sikutegemea mashahidi niliowaamini wote walikimbia ☺️ kwa hofu ya jengo la mahakama ijapokuwa wanaujua ukweli.
Kuna mashahidi walikuja kutoa ushahidi kufika kwenye ma benchi ya mahakama wakati wa kusubili kesi iitwe walikuwa wanatetemeka aisee sikuamini wote wa 3 wakasepa halafu kesi yenyewe ilikuwa ya madai tu iliwaogopesha , nilijifunza kitu