Uwoga wa mashaidi unaweza kusababisha kesi ishindwe mahakamani

Uwoga wa mashaidi unaweza kusababisha kesi ishindwe mahakamani

Mimi niliposikia kwamba mahakamani hata ukikohoa kwa bahati mbaya kwa sauti ambayo inaweza kuvuruga usikilizwaji wa kesi unaweza kula mvua ya mwaka,sikuwahi kutamani kukanyaga mahakamani mpaka leo!
Hhhh hizo ni soga za vijiweni tu , mahakamani ni sehemu ya Fact hata kujieleza haujielezi kama unavyoongea mtaani wanataka ushaidi pia
 
Back
Top Bottom