Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Aisee hilo ni tatizo kubwa , mahakama inaogopwa wakati ni sehemu ya Kimbilio kupata haki yako, mimi kwenye haki yangu huwa ni jasiri kama simbaNa hiyo imewaweka wahalifu wengi uraiani maana ni rahisi mtu kukamatwa na kupelekwa mahakamani ila ikifika hatua ya ushahidi ni hapo kila mtu anakula kona
Ndiyo hivyo ,hapo kikubwa jifunze ngumi na uchawi kiasi kwa kutumia hayo haki yako haichelewi na pia haitaki mashahidi ni kutoa nakoz alafu mambo yanakaa sawa chap .Aisee hilo ni tatizo kubwa , mahakama inaogopwa wakati ni sehemu ya Kimbilio kupata haki yako, mimi kwenye haki yangu huwa ni jasiri kama simba
Kumbe ndumba zinahusika piaNdiyo hivyo ,hapo kikubwa jifunze ngumi na uchawi kiasi kwa kutumia hayo haki yako haichelewi na pia haitaki mashahidi ni kutoa nakoz alafu mambo yanakaa sawa chap .
Kumbuka :Haki haiombwi
Unakesa ya kutoa ushahidi wa uongo na kuidanganya mahakamaKwani mahakamani ukitoa ushahidi ukabainika ni wa uongo je shahidi Unaweza kufungwa?
Wewe huogopi kutoa ushahidi?
Mi naogopa police aisee🙌
Ngoja tusubili wataalamu wa sheria waje watupe muongozoKwani mahakamani ukitoa ushahidi ukabainika ni wa uongo je shahidi Unaweza kufungwa?
Kaka ndumba haicheleweshi mambo ,wacha nikuitie liganga la JF japo ni litapeli ila linaweza kukupa abc ,wewe liganga Papaaa mukuubwaaa njoo hapaKumbe ndumba zinahusika pia
Inategemea na uzito wa kesiWewe huogopi kutoa ushahidi?
Mi naogopa police aisee🙌
Hhhhhh , namsubili atoe codeKaka ndumba haicheleweshi mambo ,wacha nikuitie liganga la JF japo ni litapeli ila linaweza kukupa abc ,wewe liganga Papaaa mukuubwaaa njoo hapa
Ooh sawaInategemea na uzito wa kesi
Ni kwenda kwenye mahakama za wanyonge tu (sangoma)
Kazi ni kipimo cha utu
Mawakili na tai zao zile wakikuhoji inatakiwa uwe jasiri kweli kweliMahakamani sio vacation
Hhhhh , Afrika yetu ina mamboHapo ni ndumba tu ndiyo zilifanya kazi. Mdaiwa wako usikute alipasua nazi za kutosha kwenye makutano ya barabara na kunuia hao mashahidi wako waingiwe na hofu ya ajabu.