Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

Du mkuu umenivunja mbavu,,, binafsi sijaona hicho aliochookiita macho ya dunia yako Igunga..jambo lingine nlilolifanyia tathmini ndongo huju january si mzungumzaji mzuri mfano katika hotuba ametamka "CCM wamekamata ardhi na kwa sasa wako angani" je kauli hii inahusiana nini na mahitaji ya wanaigunga?

Inaonyesha kuishiwa kwa sera
 
Mlioko huko hebu mwambieni JM kuwa unafiki anaoufanya sasa akiwa kijana unampelekea kuwa mchawi atakapozeeka. Oooo--hooo! Shauri lake!
 
Kwani nae huyu mwezi wa kwanza ni lazima amrithi siasa babake kwanini asimrith kwa kujiunga na jesh?
 
Leo ndo nimeamini Magamba hawana kabisa watu wenye uwezo wakujenga Hoja...huyu Makamba ambae Magamba ndo tegemeo lao ameanza vibaya sana kwanza stahili yake yakuongea watu lazima wasinzie huku wamesimama,nimemuona pia kamanda Mbowe jinsi alivyo anza vyema kwakumobilize Mshikamano kwa Watanzania kwakutokubali kugawanywa kwa misingi yakidini na kiimani na the way alivyokuwa akizungumza unaona kabisa Dhamira ya dhati juu ya kile anacho zungumza.
 
Unapotuambia kwenye siasa kila mtu anaongea lake maana yake nini?huji siasa safi ndio dira ya maisha ya watanzania?hatutaki siasa za kuropoka,hatutaki siasa za kuwalaghai wananchi,hatutaki siasa za kutumia ujinga wa wananchi kupata madaraka badala ya kuwatoa kwenye ujinga huo,lakini pia kwa tathimini ya haraka haraka,CCM maji ya shingo na ndio maana wanasombana kama mizunguko ya daladala hapa Dar,wameenda hadi wastaafu ambao hawakuwa kwenye mtandao wa jeykei,kin Mashishanga,kina Mangula,na wamewaita hadi waliowahi kushika nyadhifa mbali kama vile U-Fatuma Kimario,wanapelekeshwa sana,na kiukweli kama kampeni zingekuwa ni zaidi ya mwezi hali ingekuwa tofauti sana jimbo la Igunga.
Huyo dogo anajaribu tu kutuhibitishia ya kwamba mtoto wa punda milia hawezi kukosa mistari-yaani mtoto wa nyoka hwaezi kuwa kenge,ameshaanza kuropoka
 
January makamba pamoja na kubebwa rakini habebeki hana mvuto, hana uwezo wa kurimudu jukwaa na pombe nyingi kule morogoro enzi zake zimeharibu sura yake anaonekana ka zezeta sasa
 
January makamba pamoja na kubebwa rakini habebeki hana mvuto, hana uwezo wa kurimudu jukwaa na pombe nyingi kule morogoro enzi zake zimeharibu sura yake anaonekana ka zezeta sasa

Gongo au nyagi sababu ule mdomo unatoa vitu vya ajabu anataka kutuambia hadi kina cameron wanaijua igunga? Lkn babake alisema ni uzee ndo mana analopokalopoka hadi magamba wakampiga chini kuogopa sikt anaweza panda jukwaani akalopoka uozo wa ccm
 
aaaaah mkuu,una uhakika?huyu ni rais mtarajiwa!

Labda Raisi wa CCM, kichwa kama baba yake kasoro nundu! Aende akaoge tena ile dawa ya mvuto kwa babu yake tanga aliyooga kipindi kile cha bunge imeshachuja. Na asipojiangalia atapoteza mvuto na kupotea moja kwa moja.
 
kumbe wengi mmeona dogo akiitokota nilidhani nimembaini pekeyangu, kama hawa ndio viongozi wa ccm basi 2015 kazi kwelikweli naiona ZAMBIA ileeeee
 
Kumbe nae ni mropokaji kama baba yake?

Mtoto wa kenge ni kenge tu hawezi kuwa kiumbe kingine labda sayansi ya akina sangoma itumike. Angalia/chunguza akili za watoto hawa: January Makamba, Liz-one Kikwete, Jobu Lusinde, Hussein Mwinyi, Makongoro Nyerere na wengineo waliopo ndani ya CCM utagundua wote wana tabia za baba zao!!!!!!!!!!!!!!!

Ni hayo tu!
 
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari

labda anafikiri wana Igunga hawaelewi maana ya 'dunia'.

akili kama za baba yake.
 
Ni macho ya watanzania wenye access ya habari pekee ndio wanaoiangalia Igunga kwa sasa, sio Dunia

Niliona jamaa mmoja na bango limeandikwa 'Chadema,tumaini letu wana Igunga' huyu jamaa alikuwa amechoka sana tena sana maskini...

Nadhani tumaini la wana Igunga na watanzania wote ni serikali komavu ,na si vyama vya siasa...so painful hii nchi tunakoelekea kwa sasa...

But again pengine siasa hizi zimeleta changamoto ya mwamko wa mwenendo wa serikali, zamani serikali had an 'I don't care attitude' sasa hivi CDM whistles and govt listens @least bungeni....
Mkuu hapo kwenye Blue umeniacha hoi sana, hata mimi nililiona nilitakakuiposti usiku huo huo hapa jamvini lakini nashukuru kwa kuliona kwako hili. Kweli kabisa Tumaini la wana Igunga ni CDM.
 
Du mkuu umenivunja mbavu,,, binafsi sijaona hicho aliochookiita macho ya dunia yako Igunga..jambo lingine nlilolifanyia tathmini ndongo huju january si mzungumzaji mzuri mfano katika hotuba ametamka "CCM wamekamata ardhi na kwa sasa wako angani" je kauli hii inahusiana nini na mahitaji ya wanaigunga?
Ni kweli January si mzungumzaji kama akina Zitto lakini ni bingwa wa fitina yule jamaa, ana vyanzo vingi sana vya habari jambo ambalo ni advantage yake. Ukichunguza hoja nyingi tata bungeni yeye aliibuka kama mtu wa kati (mpatanishi) na kutoa suluhisho tena la serikali kama si chama!
Kiukweli January Makamba yupo sahihi kusema kuwa dunia nzima macho yapo Igunga kwa sababu uchaguzi ule unaweza kutoa mwelekeo wa vyama vya siasa utakavyokuwa kabla ya uchaguzi wa 2015. Ndiyo maana kila chama kinajitahidi kutaka kulinyakuwa jimbo hilo ili kulinda au kuongeza heshima mbele ya wananchi. Ili hili liwe fair, inabidi nao uchaguzi uwe fair. Kwangu mimi Igunga ni zaidi ya uchaguzi.
 
Labda Raisi wa CCM, kichwa kama baba yake kasoro nundu! Aende akaoge tena ile dawa ya mvuto kwa babu yake tanga aliyooga kipindi kile cha bunge imeshachuja. Na asipojiangalia atapoteza mvuto na kupotea moja kwa moja.
Atapotea kwenye duru za Kisiasa kama Nnauye Junior wa JF.
 
Back
Top Bottom