Unapotuambia kwenye siasa kila mtu anaongea lake maana yake nini?huji siasa safi ndio dira ya maisha ya watanzania?hatutaki siasa za kuropoka,hatutaki siasa za kuwalaghai wananchi,hatutaki siasa za kutumia ujinga wa wananchi kupata madaraka badala ya kuwatoa kwenye ujinga huo,lakini pia kwa tathimini ya haraka haraka,CCM maji ya shingo na ndio maana wanasombana kama mizunguko ya daladala hapa Dar,wameenda hadi wastaafu ambao hawakuwa kwenye mtandao wa jeykei,kin Mashishanga,kina Mangula,na wamewaita hadi waliowahi kushika nyadhifa mbali kama vile U-Fatuma Kimario,wanapelekeshwa sana,na kiukweli kama kampeni zingekuwa ni zaidi ya mwezi hali ingekuwa tofauti sana jimbo la Igunga.
Huyo dogo anajaribu tu kutuhibitishia ya kwamba mtoto wa punda milia hawezi kukosa mistari-yaani mtoto wa nyoka hwaezi kuwa kenge,ameshaanza kuropoka