Uwoya adaiwa ndio chanzo cha Dogo Janja kuwa na muonekano wa kike

Uwoya adaiwa ndio chanzo cha Dogo Janja kuwa na muonekano wa kike

IMG-20180312-WA0092.jpeg
 
huyu dogo hamuwezi huyo demu wake, huyo Uwoya anataka mwanaume mbishi kama mimi
 
Yaani mwanaume unajiremba kike, hadi dera unavaa eti ni ubunifu?
 
Aiseeee.......[emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi wallah [emoji47] [emoji47]
 
Siku si njingi kijana mwenzetu akilt yake itakuwa kama Chidi benz
 
Nilimsikia jamaa fulani anasema Dogo Janja ANA MDOMO MTAMU KUNYONYA. Nikashangaa sana
 
Back
Top Bottom