Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara nyingi hupenda kumkwepa kwepa janjaro na kiasi fulani anahisi kama janjaro ndo chanzo cha mumewe kipenzi Hamadi Kataut kufariki.

Dogo janja mara kwa mara akitafutwa kujibu suala hili la kunyimwa penzi na uwoya amekuwa akibabaika sana na muda mwengine hupenda kujibu nje ya mada ili asiendelee kuulizwa.
 
Baada ya Dr shika kuzima kiki zao na wakapotea na kufa kifo cha mende miguu juu ,nyanganyanga kwa sauti ya lipumba

Wameamua kuja kwa kiki nyingine

Natamani Dr shika atoe kiki moja matata ili kiki za hawa majamaa ziyeyuke tena
 
bro kama wewe ni mwanaume aisee shida ipo
 
hahaaaaaaaaa
we jamaa mbaya sana, yaani nimecheka sana, ila kunakaukweli ndani yake
 
Rekebisha usemi hakuwa kipenzi chake alichokifuata kwa Ndiku hakukipata akandoka, kipenzi chake ni dogo janja maana kwa ndiku hakukubali kubadili dini kwa dogo kabadili mwenyewe sasa huu unafiki wa kujidai ati mumewe kipenzi imetoka wapi? Nafsi itamsuta maisha yake yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…