Nyendeke
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 1,552
- 2,849
Mkuu inawezekana kweli Dogo aliwavimbia waliomshauri ila wale wakubwa zake kukubali kumuozesha Dogo huku wakijuwa fika wanamvisha Bomu kiunoni pale wamezingua, mana inawezekana Genye ndo zilikuwa zinaongoza akili ya Dogo. Aidha tuwatakie Ndoa yenye furaha na amani tele!!!Dogo hakushauriwa/kushaurika. Uwoya ni kulumbembe wa level nyingine. siyo level ya kumfanya mke. Hata hivyo binadam hujifunza kutokana na makosa. Yeye na wengine wajifunze kwamba "kunguru hafugiki"