Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

Mi huyo Uyowa hawa akinipa discount kwa one night stand tu sitaki, lakini kuna watu wameoa! Kweli binadamu tuko tofauti.
 
Dogo hakushauriwa/kushaurika. Uwoya ni kulumbembe wa level nyingine. siyo level ya kumfanya mke. Hata hivyo binadam hujifunza kutokana na makosa. Yeye na wengine wajifunze kwamba "kunguru hafugiki"
Wanaume wa siku hizi sijui tuna matatizo gani kichwani. Yaani utakuta mwanamke ambaye ameshindikana na kuna mifano hai ya wenzako waliopitia na kuinua mikono, tena huku ukijua fika na kwa ushahidi halafu hapo ndipo mtu mzima na akili zake anakwenda kuwekeza na kupoteza nguvu zake, muda wake na rasilimali. Hivi tumerogwa?
 
Back
Top Bottom