Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keisha alikatwa toka mwanzo wa mchakato...aliyekuwa ana subiri kupata ni irene ambaye naye amekosa baada ya idadi ya viti kupungua sana kwa hiyo ni wachache walio bahatika...yeye amekosa pia!Habari wadau. Wasanii Irene Uwoya na Keisha katika kumbukumbu zangu walikuwa wanasubiri kuingia bungeni kupitia viti maalumu. Majina yametoka lakini hakuna majina yao! Ni nini kimejili? Au kuna vigezo havijazingatiwa??? Mwenye kujua atujuze