Uwoya na Keisha kwenye siasa, kulikoni?

Uwoya na Keisha kwenye siasa, kulikoni?

inauma ! kupigwa papuchi halafu unatupwa huko kama ganda la mua
 
Wamekatwa,ila Keisha ilikua mapema sana akabaki Irene ambae naamini alijiwekea asilimia nyingi maana ali-invest vyote ila biashara imemkata maana viti maalumu vina wenyewe na safari hii sisiemu walikua navyo vichache.
 
Habari wadau. Wasanii Irene Uwoya na Keisha katika kumbukumbu zangu walikuwa wanasubiri kuingia bungeni kupitia viti maalumu. Majina yametoka lakini hakuna majina yao! Ni nini kimejili? Au kuna vigezo havijazingatiwa??? Mwenye kujua atujuze
Keisha alikatwa toka mwanzo wa mchakato...aliyekuwa ana subiri kupata ni irene ambaye naye amekosa baada ya idadi ya viti kupungua sana kwa hiyo ni wachache walio bahatika...yeye amekosa pia!
 
Back
Top Bottom