Pre GE2025 UWT Iringa walivyowaimbisha 'Mitano tena' wanafunzi wakisherekea birthday ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Ndio hivyo..!😎

Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi kuendeleza malezi bora kwa watoto.
Your browser is not able to display this video.
 
Duh chawa kila kona
 
Na ni nchi hiyo hiyo utakuta hospital meter 500 kutoka hapo haina sterile surgical gloves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…